Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Forester ni gari ya Rally? SMH
Nadhani mtoa mada alikua anazangumzia subaru in general and so was I although pia ukizungumzia forester pia **it's not your average car** ukizingatia unaweza funga parts nyingi za performance
 
ningekuwa na verosa VR25 ningeomba ligi na hvy vi forester yan hcho ki forester hata kicheue mpaka kitapike hakion ata plate namba
 
ningekuwa na verosa VR25 ningeomba ligi na hvy vi forester yan hcho ki forester hata kicheue mpaka kitapike hakion ata plate namba

Verosa haiwezi izidi Forester Sti
Labda anae endesha hana hela ya mafuta na pia hana uwezo wa kufanya repair au gari si yake
Ila mtu mwenye hela na gari lake huwezi ishinda hiyo gari
Labda awe mwoga
 
Verosa haiwezi izidi Forester Sti
Labda anae endesha hana hela ya mafuta na pia hana uwezo wa kufanya repair au gari si yake
Ila mtu mwenye hela na gari lake huwezi ishinda hiyo gari
Labda awe mwoga
Labda ungeangalia spec za hio Verossa VR25 kabla ya kujibu, sio verossa unazoziona kila siku mtaani. Hio ni 2.5 turbo, manual transmission horse power 280.
 
Labda ungeangalia spec za hio Verossa VR25 kabla ya kujibu, sio verossa unazoziona kila siku mtaani. Hio ni 2.5 turbo, manual transmission horse power 280.

Hata hii Subaru ninayoisemea ni 2.5 turbo
Six speed manual
270hp

Kumbuka kuwa hii ni performance vehicle hivyo huyo mwenye verossa nina hakika akipata mtaalamu na verossa hiyo ya 2001 hii subaru ya 2005 inaitupa
Amini hiki
Kwenye gari dereva ndo muhimu na ndo maana unakuta magari yako sawa ila dereva mmoja anawahi kuliko mwingine
 
Jibu lako mwanzo ni dhahiri ulifikiri ni verossa ya kawaida.
 
sisi tunaotembea kwa miguu soli zinaisha jamani🙁
 
Huo wivu sasa, nenda garage zote dsm, angalia idadi ya subaru na gari zingine zipi zinaongoza kwa ajali. Ndio urudina uzi mwingine hapa, wa kuomba msamaha kwa wenye SUBARU LEGACY, SUBARU IMPREZZA n.k
 
Huo wivu sasa, nenda garage zote dsm, angalia idadi ya subaru na gari zingine zipi zinaongoza kwa ajali. Ndio urudina uzi mwingine hapa, wa kuomba msamaha kwa wenye SUBARU LEGACY, SUBARU IMPREZZA n.k
Asante kwa kuja.
 
Huo wivu sasa, nenda garage zote dsm, angalia idadi ya subaru na gari zingine zipi zinaongoza kwa ajali. Ndio urudina uzi mwingine hapa, wa kuomba msamaha kwa wenye SUBARU LEGACY, SUBARU IMPREZZA n.k

Sio wivu mkuu, huyu Boss hapa alikuwa anawaelewesha wale ambao ni reckless subaru drivers wanaosababisha vifo au vilema kwa wapita njia au wenye magari wengine
Real drivers wanaenda rally au njia ambazo kweli waweza chomoka
Mi nazipenda subaru ila naungana nae kwenye hilo swala la reckless driving
 
Binafsi nina Subaru, na tuna chama chetu cha watu wa subaru, huu mwaka wa pili toka tuanzishe, tupo 45, sijawahi sikia hata mmoja wetu kapata ajali, au kasababisha ajali.

Hizo story zinatoka wapi.
 
careless driving nadhani wanaongoza watuwa madaladala na bodaboda, na ndio ajali nyingi wanasababisha hao watu...
 
Binafsi nina Subaru, na tuna chama chetu cha watu wa subaru, huu mwaka wa pili toka tuanzishe, tupo 45, sijawahi sikia hata mmoja wetu kapata ajali, au kasababisha ajali.

Hizo story zinatoka wapi.
Chama chenu kinaitwaje? Mko 45 kuna subaru ngapi Tanzania hii? Kwa nyinyi 45 kutopata ajali ndio hitimisho kwamba ninachoongea hakipo? Bali ni wivu.
 
Chama chenu kinaitwaje? Mko 45 kuna subaru ngapi Tanzania hii? Kwa nyinyi 45 kutopata ajali ndio hitimisho kwamba ninachoongea hakipo? Bali ni wivu.
Unachoongea hakipo PRONDO, ni wivu tu! Kama na wewe una SUBARU unataka kojoini chama chetu, njoo inbox. Ni kwa Dsm tu
 
Aisee basi na mie ngoja nije na beast langu mwaka huu
 
Mkuu RRONDO next week usisahau kuanzisha thread juu ya sisi madereva wa ROLLS-ROYCE manake hata sie tunavurugu kweli hapa Mbeya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…