Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Hakuna mtu anataka kufa ila kweli, ukiketi penye kiti cha dereva kwenye subaru, kuna raha yake. Uwe umetoka kwenye magari mengine halafu uendeshe subaru. Halafu uwe mefunga vioo huku uwe umekamata high way. 160 inakuhusu baada tu ya km 5 za take off. Naipenda subaru. Ile gari, breki yake waliisomea.
 
Mkuu jana saa1 jioni karume mataa pale vitz na daladala zmempasua jamaa wa pikipiki aliyeingia kizembe...mm nilishamcalculate kuwa ataingia ikabidi niruke upande wa pili ... Ingekua subaru imemvaa ungesikia subaru imeua. Uzembe wa kijinga wanasingizia magari tena subaru. Waache uchonganishi
Bravo mkuu, confidence in motion.[emoji106]
 
Nimeipenda forester sti
2.5lt
Gear 6 manual
Bei yake tu ndo mauaji
Bei ya kununulia ni 11,000$
Tsh 24,000,000
Kodi 9,600,000
Jumla 33,600,000
Mil 34 zahitajika hapo
Bado hapo hujaweka chochote kile
 
Hakuna mtu anataka kufa ila kweli, ukiketi penye kiti cha dereva kwenye subaru, kuna raha yake. Uwe umetoka kwenye magari mengine halafu uendeshe subaru. Halafu uwe mefunga vioo huku uwe umekamata high way. 160 inakuhusu baada tu ya km 5 za take off. Naipenda subaru. Ile gari, breki yake waliisomea.
Hahaahhaahaha nilishamaliza 180km/hr na ikawa inaenda kwenye zero, sitakaa niendeshe namna ile tena, zile gari ni za shetani. Tulikua tunakwenda Lushoto kumzika rafiki yangu Mohamed Mtoi....
 
Nina 2006 legacy sport, itasababisha nijute kukakaa Toyota kwa muda wote. Stability , take off , overtake etc very amazing. Mara nnyingi traffic light point a to b uwaka pamoja, sasa raha ni pale ninapotokaga mataa ya stanbic, nikavuka taa za sarrenda , nikakata za red cross then nakutana na taa nyekundu maktaba ya taifa. Inahitaji kuwa smart kudrive subaru ya modeli yoyote ile!
Umenena mkuu inata u smart hii kitu ila tamu mkuu
 
Sasa lini tunaenda kuendesha.........?.....nyie woooooote hapa wenye Subaru.......tunaomba tuwaalike (ambao hampo Chugga) mechi ya kirafiki na Subaru Kaskazini.......ili tudumishe uJF wetu........
 
hvo vi forester vikileta kelele dawa yao mistubish evo 9 generation torque 392nm ,280hp speed 280
 
Back
Top Bottom