MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,303
Kuweka chochote kama nini hapo jamaa?Halafu jamaa wanasema eti gari za teenager... hahahaha! bado hujagusa hapo Subaru Forester 2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuweka chochote kama nini hapo jamaa?Halafu jamaa wanasema eti gari za teenager... hahahaha! bado hujagusa hapo Subaru Forester 2015
Nimeendesha sana Subaru , sina hizo sifa unazozianisha, nahisi umegeneralize. Ni mara chache sana kwa Dar kupata gap ya kunyooka 100kph. Anyway you have the right to speak!Jamani mimi najiuliza madereva wa subaru(wengi wao) wana matatizo gani? Nasema wana matatizo kwa sababu wana fujo zisizo na msingi barabarani. Unakuta mtu na subaru yake anapita barabara ndogo na 100kph kwa nini?
Hamuwezi kuendesha gari kistaarabu? Madereva wa subaru wamesababisha ajali na vifo vingi sana hususan Dar es salaam kwa uendeshaji wao wa sifa. Na nimechunguza nikakuta ni watu wa umri kati ya miaka 24-35 lakini wanatabia kama za watu wa 16-20 barabarani, mliruka hatua za ukuaji?
Jaribuni kujiheshimu barabarani watu mna watotona wategemezi kibao lakini mnafanya mchezo na vyombo vya moto, fujo zisizo na mpango hazina faida yoyote.
Nafikiri ungesoma vizuri ungeona nimeandika wengi wao sio wote.Nimeendesha sana Subaru , sina hizo sifa unazozianisha, nahisi umegeneralize. Ni mara chache sana kwa Dar kupata gap ya kunyooka 100kph. Anyway you have the right to speak!
Asante. Kiukweli ni gari tamu sana. Tunakosa Barabara tu.Nafikiri ungesoma vizuri ungeona nimeandika wengi wao sio wote.
Nimeendesha sana Subaru , sina hizo sifa unazozianisha, nahisi umegeneralize. Ni mara chache sana kwa Dar kupata gap ya kunyooka 100kph. Anyway you have the right to speak!
Jamani mimi najiuliza madereva wa subaru(wengi wao) wana matatizo gani? Nasema wana matatizo kwa sababu wana fujo zisizo na msingi barabarani. Unakuta mtu na subaru yake anapita barabara ndogo na 100kph kwa nini?