Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
HazifungukiiiTukijiaandaa kwenda kwenye amsha amsha ngarabenga...RIP wote waliotangulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HazifungukiiiTukijiaandaa kwenda kwenye amsha amsha ngarabenga...RIP wote waliotangulia
Hazifungukiii
Jamani msipoteze lengo la uzi huu....siko hapa ku promote SUBARUs niko hapa kuwapa awareness juu ya usalama, endesheni vizuri hayo magari mkitaka mashindano andaeni sio mnafukaza huku mitaani mnaua watu hovyo.Tukijiaandaa kwenda kwenye amsha amsha ngarabenga...RIP wote waliotangulia
Thanks hapa poa kabisaBado tu
Jamani msipoteze lengo la uzi huu....siko hapa ku promote SUBARUs niko hapa kuwapa awareness juu ya usalama, endesheni vizuri hayo magari mkitaka mashindano andaeni sio mnafukaza huku mitaani mnaua watu hovyo.
Tamu kwenu chungu kwa mnaowapa vilema na familia za waliokufa...Kama nyinyi mna familia na hamzijali endeleeni ila msihatarishe maisha ya wengine.Ndo maana tunachukua tahadhari!! Arusha semina za safety zinafanyika kwa madereva wa subaru... Afterall street races ni nzuri na tamu kwa hyo stay calm, hata madereva wana familia na wanachama roho let them do kitu roho inapenda.. tunajali ndo mana tuna SULKA mbona wakitoa misaada ya kijamii hamsemi??
Ujana maji ya moto...Kama huijui wala hujawahi endesha subaru tulia tu na make sure unapisha wanapokiwasha.
i have pushed faster and powerful beasts but im responsible. napenda sana magari ya aina hio ila huwezi kunikuta naliungurumisha mitaani huku uswahilini, na hicho ndio nakipinga.Subaru inafunguka vizuri sana... hata wewe mleta mada ukipewa uendeshe akili zako zitafunguka... kila unavyoipa ina dai bado...
Achana na forster tafuta GDI wrx with turbo, sti or GDA wrx with turbo ,sti hata GC 8 Sti ni tamuu hizo ndo mashineMwaka huu hauishi forester sti yanihusu
i have pushed faster and powerful beasts but im responsible. napenda sana magari ya aina hio ila huwezi kunikuta naliungurumisha mitaani huku uswahilini, na hicho ndio nakipinga.
Kuna speed za kuendesha barabaranii dunia nzima. Hakuna barabara za mjini unaruhusiwa kuendesha 160 au 140kph. Nafikiri unanielewa sasa. Fuata sheria za usalama barabarani,siku ikikuvunja mgongo hio subaru utajua nazungumzia nini.Sasa unataka tuendeshee angani?? Ilaumu serikali yako ambayo haijakuwekea miundo mbinu mizuri khaa!! Subaru yangu!! Roho yangu!! Spidi yangu!! Barabara zetu soo!!
Kuna speed za kuendesha barabaranii dunia nzima. Hakuna barabara za mjini unaruhusiwa kuendesha 160 au 140kph. Nafikiri unanielewa sasa. Fuata sheria za usalama barabarani,siku ikikuvunja mgongo hio subaru utajua nazungumzia nini.
Typical akili za waendesha Subaru.Kuvunjika hayo majaliwa!! Nshapoteza kaka zangu wawili!! Close friends 3 na masela wa kutosha kutokana na ajali za magari...I've no regrets... Maisha mafupi acha tuenjoy na kumbuka tunaendesha speed ila sio rough au carelessly. Mtu anaweza akawa anaendesha slow ila rough huyo humuogopi??
Nachukia sana eti mtu alimit speed yangu eti ntakufa!! Khaa kwani kuna anaeishi milele acheni tuenjoy ya mbele hatuyajui
Kama unapenda magari ya aina hiyo.. hicho ni kitu cha kawaida sana...i have pushed faster and powerful beasts but im responsible. napenda sana magari ya aina hio ila huwezi kunikuta naliungurumisha mitaani huku uswahilini, na hicho ndio nakipinga.