Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Mkubwa ajali asilimia 99% ni uzembe,kutokufuata sheria za usalama barabarani,wewe barabara za michepuko unapita na 120km/h kisa una subaru?
Siyo kila sehemu ni mbio tu kuna sehemu zake ukiona mtu anakimbia hovyo mjini tena wakati wa mchan anamatatizo huyo,twendeni porini au high wat uko tuone kama atakimbia hayo mambo watuachie wenyewe na ndo maana tunaonekana kama hatujielewi tuna rally mwezi huu bagamoyo karibu tarehe 21 - 22
 
Ni sawa na kutembea na kitoto cha sekondari na kujisifia kuwa umekipelekea mashine mpaka uchi ukawaka moto...!
 
Siyo kila sehemu ni mbio tu kuna sehemu zake ukiona mtu anakimbia hovyo mjini tena wakati wa mchan anamatatizo huyo,twendeni porini au high wat uko tuone kama atakimbia hayo mambo watuachie wenyewe na ndo maana tunaonekana kama hatujielewi tuna rally mwezi huu bagamoyo karibu tarehe 21 - 22
Bagamoyo sehemu gani nataka nije. Napenda rally lakini sipendi fujo za kijinga mitaani.
 
Ukija Chuga utadata kuna SULKA subaru legends of Kaskazini aka SUBARU KASKAZINI kufa kupo tu unaweza pata ajali hata kwenye kwenye kiti ukafa!! Ila its honour kufia kwenye SUBARU RIP waliotangulia karibu Arusha mbuga ya chumvi tukale raha
 
Duh
 
RRONDO
Mi sina subaru ila nazipenda tu
Evo's ni exp na pia spares zake ndo maana si nyingi mjini
 
Ukija Chuga utadata kuna SULKA subaru legends of Kaskazini aka SUBARU KASKAZINI kufa kupo tu unaweza pata ajali hata kwenye kwenye kiti ukafa!! Ila its honour kufia kwenye SUBARU RIP waliotangulia karibu Arusha mbuga ya chumvi tukale raha
Mkishakaa ndani ya subaru akili yenu inakuwa moja. Chagueni pa kuonesha huo ufundi na si mitaani.
 
Tukijiaandaa kwenda kwenye amsha amsha ngarabenga...RIP wote waliotangulia
 
Attachments

  • 1462084252006.jpg
    1462084252006.jpg
    56.8 KB · Views: 70
  • 1462084266890.jpg
    1462084266890.jpg
    30.9 KB · Views: 66
  • 1462084282076.jpg
    1462084282076.jpg
    55.5 KB · Views: 70
  • 1462084292478.jpg
    1462084292478.jpg
    57 KB · Views: 68
  • 1462084398265.jpg
    1462084398265.jpg
    26 KB · Views: 65
Back
Top Bottom