lester
Member
- Sep 26, 2011
- 78
- 40
Siyo kila sehemu ni mbio tu kuna sehemu zake ukiona mtu anakimbia hovyo mjini tena wakati wa mchan anamatatizo huyo,twendeni porini au high wat uko tuone kama atakimbia hayo mambo watuachie wenyewe na ndo maana tunaonekana kama hatujielewi tuna rally mwezi huu bagamoyo karibu tarehe 21 - 22Mkubwa ajali asilimia 99% ni uzembe,kutokufuata sheria za usalama barabarani,wewe barabara za michepuko unapita na 120km/h kisa una subaru?