Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Attachments

  • 1462084734876.jpg
    1462084734876.jpg
    55.5 KB · Views: 55
  • 1462084748936.jpg
    1462084748936.jpg
    30.9 KB · Views: 53
  • 1462084765126.jpg
    1462084765126.jpg
    56.8 KB · Views: 53
  • 1462084780686.jpg
    1462084780686.jpg
    57 KB · Views: 55
  • 1462084790556.jpg
    1462084790556.jpg
    26 KB · Views: 54
Tukijiaandaa kwenda kwenye amsha amsha ngarabenga...RIP wote waliotangulia
Jamani msipoteze lengo la uzi huu....siko hapa ku promote SUBARUs niko hapa kuwapa awareness juu ya usalama, endesheni vizuri hayo magari mkitaka mashindano andaeni sio mnafukaza huku mitaani mnaua watu hovyo.
 
Ndo maana tunachukua tahadhari!! Arusha semina za safety zinafanyika kwa madereva wa subaru... Afterall street races ni nzuri na tamu kwa hyo stay calm, hata madereva wana familia na wanachama roho let them do kitu roho inapenda.. tunajali ndo mana tuna SULKA mbona wakitoa misaada ya kijamii hamsemi??
 
Attachments

  • 1462085258964.jpg
    1462085258964.jpg
    19.5 KB · Views: 54
Subaru inafunguka vizuri sana... hata wewe mleta mada ukipewa uendeshe akili zako zitafunguka... kila unavyoipa ina dai bado...
 
Ndo maana tunachukua tahadhari!! Arusha semina za safety zinafanyika kwa madereva wa subaru... Afterall street races ni nzuri na tamu kwa hyo stay calm, hata madereva wana familia na wanachama roho let them do kitu roho inapenda.. tunajali ndo mana tuna SULKA mbona wakitoa misaada ya kijamii hamsemi??
Tamu kwenu chungu kwa mnaowapa vilema na familia za waliokufa...Kama nyinyi mna familia na hamzijali endeleeni ila msihatarishe maisha ya wengine.
 
Subaru inafunguka vizuri sana... hata wewe mleta mada ukipewa uendeshe akili zako zitafunguka... kila unavyoipa ina dai bado...
i have pushed faster and powerful beasts but im responsible. napenda sana magari ya aina hio ila huwezi kunikuta naliungurumisha mitaani huku uswahilini, na hicho ndio nakipinga.
 
Mwaka huu hauishi forester sti yanihusu
 
i have pushed faster and powerful beasts but im responsible. napenda sana magari ya aina hio ila huwezi kunikuta naliungurumisha mitaani huku uswahilini, na hicho ndio nakipinga.

Sasa unataka tuendeshee angani?? Ilaumu serikali yako ambayo haijakuwekea miundo mbinu mizuri khaa!! Subaru yangu!! Roho yangu!! Spidi yangu!! Barabara zetu soo!!
 
Kuna speed za kuendesha barabaranii dunia nzima. Hakuna barabara za mjini unaruhusiwa kuendesha 160 au 140kph. Nafikiri unanielewa sasa. Fuata sheria za usalama barabarani,siku ikikuvunja mgongo hio subaru utajua nazungumzia nini.
 
Kuvunjika hayo majaliwa!! Nshapoteza kaka zangu wawili!! Close friends 3 na masela wa kutosha kutokana na ajali za magari...I've no regrets... Maisha mafupi acha tuenjoy na kumbuka tunaendesha speed ila sio rough au carelessly. Mtu anaweza akawa anaendesha slow ila rough huyo humuogopi??
Nachukia sana eti mtu alimit speed yangu eti ntakufa!! Khaa kwani kuna anaeishi milele acheni tuenjoy ya mbele hatuyajui
 
Typical akili za waendesha Subaru.
 
i have pushed faster and powerful beasts but im responsible. napenda sana magari ya aina hio ila huwezi kunikuta naliungurumisha mitaani huku uswahilini, na hicho ndio nakipinga.
Kama unapenda magari ya aina hiyo.. hicho ni kitu cha kawaida sana...
 
Back
Top Bottom