Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Nimeendesha sana Subaru , sina hizo sifa unazozianisha, nahisi umegeneralize. Ni mara chache sana kwa Dar kupata gap ya kunyooka 100kph. Anyway you have the right to speak!
 
Nimeendesha sana Subaru , sina hizo sifa unazozianisha, nahisi umegeneralize. Ni mara chache sana kwa Dar kupata gap ya kunyooka 100kph. Anyway you have the right to speak!
Nafikiri ungesoma vizuri ungeona nimeandika wengi wao sio wote.
 
Mimi sijawahi kuendesha Subaru, ila naamini kitu kimoja. Zina nguvu sana, na system yake ya "boxerhead" pistons inafanya ziwe gari stable sana hata zikiwa kwenye mwendo mkali.

Ni muhimu kuheshimu watumiaji wengine wa barabara, ukiwa highway unaweza ukaenda na hiyo speed ya 180km/h ila hizo speed kwenye barabara za katikati ya mji ni hatari kwa wengine. Mfano, WRX ina nguvu sana, bila hata muffler ngurumo yake ni kubwa, sasa jamaa kaweka muffler, ukute ikute ni lile toleo lenye twin tubro, aki-accelerate unaogopa kabisa, utadhani ni fighter jet.

Ni maoni yangu.
 
Nimeendesha sana Subaru , sina hizo sifa unazozianisha, nahisi umegeneralize. Ni mara chache sana kwa Dar kupata gap ya kunyooka 100kph. Anyway you have the right to speak!

Kwani kukimbia 100km / h ndio kuendesha rafu
 
haya wapenda high speed mwawezacheki hapa madhara yake
 
Bora umeongea wewe kuna mwendawazima alinivaa nilikuwa ndani ya Toyota Opa yeye anaendesha Subaru legacy. kalewa halafu haina kibali hata kimoja. Tulipokwenda polisi nikakuta cases kama tatu za Subaru ndipo nilipojua shida ya Subaru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…