Umri wao wengi ni kati ya 25-35 yrs, walioko above hapo wachache sana humiliki gari za vurugu kama hizi.
Kati yao, mabishoo ndio wengi ila wastaarabu ni wachache kuanzia mavazi mpaka uendeshaji.
huko kwa Ferrari na buggati mbali sana mkuu, wafike kwanza level za v8Hawa jamaa wanahisigi maisha wameyamaliza kumbe kuna Ferrari ma Bugatti
Mmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.Ila wengi wao wana tabia zote mdau alizozitaja...
Nitatoa mfano halisi kilichotokea mwezi uliopita..
Tumeenda sehemu nikapaki usafiri wangu kama wengine walivyopaki kufuatana na maelekezo ya mlinzi wa pale..tuakaendelea na kilichotupeleka hapo..
Wakati naondoka nikakuta Alteza imepaki vibaya, sikuwezi kutoka..nikawaomba wahudumu wamwambie jamaa asogeze gari...mhudumu akarudisha jibu jamaa hajigusi wala hajibu kitu...
Meneja wa sehemu hiyo akaenda mwenye, kakanyanyuka kajamaa kamenyoa kiduku, mezani kameweka K vanti, suruali mnyonyo...kanavyotembea sasa nikadhani anakuja kuwasha Range Rover sport ya 2019.
Akawasha Alteza yake, akapiga resi kile kibuyu pale nyuma kikaharibu usikivu, basi akaipaki pembeni.....nikaondoka zangu..
Hawa watoto wakishaendesha hizo gari, wakazifunga vibuyu kwenye exhaust, wanahisi wameshamaliza maisha yote.
Huyo kinabo kweli mlimuweka sawa😂😂😂!!! Unakuta gari kapaki kwenye kona ya ukuta halafu unamuweke ubavu nyuma sehem ambayo hata hawezi sogea akitia R tu kabla ya breki kachubua milango. Hapo lazma alieMmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.
Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then afu tuiache hapo hata kwa siku 2 then yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.
Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akaaema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.
Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 kila akitutafuta kinyama mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.
Mwishoww braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatie ile gari hapo nyuma ilipoblock
Wanapenda Sana kufungulia mziki sauti kubwa kwenye gari.
Wakipaki gari BEACH, lazima wafungulie milango yote wazi
View attachment 1656129
Ila wengi wao wana tabia zote mdau alizozitaja...
Nitatoa mfano halisi kilichotokea mwezi uliopita..
Tumeenda sehemu nikapaki usafiri wangu kama wengine walivyopaki kufuatana na maelekezo ya mlinzi wa pale..tuakaendelea na kilichotupeleka hapo..
Wakati naondoka nikakuta Alteza imepaki vibaya, sikuwezi kutoka..nikawaomba wahudumu wamwambie jamaa asogeze gari...mhudumu akarudisha jibu jamaa hajigusi wala hajibu kitu...
Meneja wa sehemu hiyo akaenda mwenye, kakanyanyuka kajamaa kamenyoa kiduku, mezani kameweka K vanti, suruali mnyonyo...kanavyotembea sasa nikadhani anakuja kuwasha Range Rover sport ya 2019.
Akawasha Alteza yake, akapiga resi kile kibuyu pale nyuma kikaharibu usikivu, basi akaipaki pembeni.....nikaondoka zangu..
Hawa watoto wakishaendesha hizo gari, wakazifunga vibuyu kwenye exhaust, wanahisi wameshamaliza maisha yote.
Mmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.
Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then tuiache hapo hata kwa siku 2 afu yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.
Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akasema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.
Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 alitutafuta mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.
Mwishowe braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatoa ile gari hapo nyuma ilipoblock na mwenye bar anasema baada ya tukio hilo dogo alibadilika kabisa.
Hahahaha....kwa kweli haya yalikuwa ni maamuzi magumu..Mmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.
Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then tuiache hapo hata kwa siku 2 afu yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.
Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akasema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.
Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 alitutafuta mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.
Mwishowe braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatoa ile gari hapo nyuma ilipoblock na mwenye bar anasema baada ya tukio hilo dogo alibadilika kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38]madogo wakishanyoa viduku, wakawa na hela ya k Vanti, na vimafuta vya kuunga unga vya kuweka kwenye Alteza, basi wanaona dunia nzima ni yao...Hahahaaa teh teh teh teh, yaani nimecheka kwa sauti sana Mkuu hahaaaa. Asante sana kwa experience yako..
Mnazungumzia Subaru kwa muktadha wa gharama au?,maana sijaelewa,mfano subaru forester za 2008-2010 zinalingana bei na kluger,huko kwa Ferrari na buggati mbali sana mkuu, wafike kwanza level za v8
Safi sana. Nami nina tabia za kutopenda upuuziMmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.