Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Nilichogundua madereva wa ist wengi wao ni washamba na hawajui magari,kuna siku nikakaona ka ist eti kanataka kuleta ligi na subaru legacy kitu kina twin turbo,binafsi nikajiuliza huyu mwenye ist anajua magari kweli ๐คBora madereva wa Subaru kuliko wa IST hawa jamaa ni mapepe barabaran sijui shida Yao ni nini..
Madereva wa IST hawajiamini barabaran wao muda wote ni ku-overtake bila kuangalia nyuma na mbele
Wwnaondoa mafla iliyotoka na gari...kisha wanaweka mafla ambazo ni after market zinazoruhusu sauti kuwa kubwaWanaweka nini hadi yapiga kelele
Lakini sio wote,wengine ni wastaarabu wa kupindukia. Hizo tabia atunaga kabisa.
Mimi simo[emoji23][emoji23]Ni kwel kabisa ata jina lako linaonyesha mkuu[emoji38][emoji38]
Mimi simo[emoji23][emoji23]
Nawatafuta kidoogo sio sana kama anavyowatafuna Zero IQUtakuwepoje kwa mfano mkuu Nawatafuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnatuone wivu tu hamna lolote๐๐๐Umri wao wengi ni kati ya 25-35 yrs, walioko above hapo wachache sana humiliki gari za vurugu kama hizi.
Kati yao, mabishoo ndio wengi ila wastaarabu ni wachache kuanzia mavazi mpaka uendeshaji.
Wivu tu unakusumbuaHivi haya magari zile sauti/kelele kama ngoma iliyopasuka ndiyo yapo hivo hivo? Yaani yanunuliwa yakiwa na huo mlio wakuu? Siyo wivu ila yana kelele aisee ๐
Hahahaha huyo jamaa ni mgonjwa kwelikweliNilichogundua madereva ww ist wengi wao ni washamba na hawajui magari,kuna siku nikakaona ka ist eti kanataka kuleta ligi na subaru legacy kitu kina twin turbo,binafsi nikajiuliza huyu mwenye ist anajua magari kweli ๐ค
Sina turbo ila wa stock subaru namkalisha ๐๐๐ mchawi nusu tank tu hamna rangi ataacha ona hapo highway.Tena Turbo
Ni kweli Mkuu kuwa gari ni gari tu lakini kuna gari zinahitaji kuendana na status ama heshima ya mtu ktk jamii.
Ni kama vile kusema mavazi ni mavazi tuu, kisha mtu mzima mwenye staha ukavaa tight jeans zile za kuchanwa chanwa, micheni mikubwa mikubwa na mapete vidole vyote kumi..
Hii lazima jamii ikuchulie kitofauti sana..
uza tu hio mashine
Wengi wao haya ndiyo mapigo yao...[emoji28]
Na walio wengi ndani ya gari hakosi maji kubwa, K vanti au konyagi na miraa..View attachment 1656730
Kumbe ndiyo wewe mmoja wao eeh๐Wivu tu unakusumbua
Aaa.. mna wivu tu .. mala fungho kiunoni mala pensi.. na majoto yote haya tuvae kanyemumu ๐๐๐Kumbe ndiyo wewe mmoja wao eeh๐
Wanajionaga wana gari kali zaidi ya lile la Mkurugenzi wa Geita.UMOFIA KWENU!
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz.
Kwa kuanzia, mimi binafsi nawaona wengi wao kuwa ni:
1 - Vijana wa kiume
2 - Wanaendesha kwa 'rafu' sana.
3 - Over speeding hata kama anapokwenda ni karibu ama haparuhusu over speed
4 - Wapo arrogant/wakorofi/ hawanaga ustaarabu
5 - Wanapenda sana 'Ligi' za barabarani
6 - Wanapenda sana starehe/ kujirusha
7 etc...
Hayo ni kwa mtizamo wangu. Ukitoa mtizamo wako pia tunaweza kuwasaidia wachache ambao ni wasikivu wakabadilika, kupunguza ajali za barabarani na kuleta ustawi kwa jamii.
NAWASILISHA
Ha ha bado wa passo na porte kuanzisha ligi barabarani bila sababu za msingiBora madereva wa Subaru kuliko wa IST hawa jamaa ni mapepe barabaran sijui shida Yao ni nini..
Madereva wa IST hawajiamini barabaran wao muda wote ni ku-overtake bila kuangalia nyuma na mbele