#COVID19 Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

#COVID19 Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,262
Reaction score
12,855
Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411 samples from communities tested. Uganda’s total confirmed cases are now 79.

[emoji832]4 new COVID-19 cases confirmed ‬today out of the 1,578 samples tested among truck drivers

[emoji843]All confirmed cases are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border

[emoji842]411 samples from communities tested negative for COVID-19

[emoji843] Total samples tested today: 1,989

‪[emoji842] As of today, Confirmed Cases of COVID-19 ‬stand at 79 in Uganda

Uganda Ministry of health

Details to follow in a statement in the morning

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411 samples from communities tested. Uganda’s total confirmed cases are now 79

Sent using Jamii Forums mobile app

Guys, cant we make our own testing materials and equipment? Ninapata mashaka na kila kitu kinachozunguka huu ugonjwa. Kama kuna Masks zinaletwa ziko infected, maana yake ni kwamba tumetengenezewa mkakati wa kutuondoa usoni pa dunia.

Ukijumlisha na usemi wa Billy Gates kwamba tumezidi kuwa wengi duniani na ili dunia ipunguziwe uharibifu kunatakiwa kupunguza watu, akaendelea kusema wanaweza kupunguza kama wakicheza vizuri kwenye chanjo, na pia kwamba baada tu ya demand ya vifaa tiba kuhitajika kwa wingi duniani China Government imetake over viwanda vyote husika hata private kiasi hata mmiliki hana access ya kujua kinachozalishwa humo viwandani na serikali ni nini, na mengine mengi, si jambo la ajabu kuwa testing kits ziko infected kwamba unachukua specimen, unaji infect, ama unapopima kwenye reagents kuna virus.

Watu wazima wanapoambiwa wana virus na kuchanganywa na wangonjwa wanaweza kupata maambukizi kwenye ward ama kwenye kuchukua vipimo.

Nina sababu ya kuwa na mashaka na kila kitu wanachofanya kwenye mili yetu hawa watu. Agenda yao ni mbaya sana kwa Africa.

Naomba ndugu zangu tusigawanyike badala yake tuungane na kutafuta suluhisho za matatizo yetu kutoka ndani. Tukiendellea kuwachekelea hawa watu kwa kudhani wanatuusaidia tutakwisha. Hawatutaki.
 
Hi nchi yetu ni masikini sana kivyote.....imagine hospitali kubwa kama amana ina vitiletor moja tu.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaskini wetu unasababishwa na mitazamo pamoja na vipaumbele. Tuna wataalamu, tuna mimea. Tunahitaji kuishauri serikali sasa iwekeza kwenye untengenezaji dawa na vifaa tiba. Tunaweza!
Hiyo ni nadharia yako tu. Tanzania ni nchi ngumu kubadili kimtizamo,(General mind set) hakuna utashi wa siasa, viongozi wetu ni wakaidi, wananchi wengi wana elimu duni wanakosa mwamko na wamekata tamaa, wasomi wetu ni wabinafsi pia na fikra zao hazinatofauti kubwa nawakulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni nadharia yako tu. Tanzania ni nchi ngumu kubadili kimtizamo,(General mind set) hakuna utashi wa siasa, viongozi wetu ni wakaidi, wananchi wengi wana elimu duni wanakosa mwamko na wamekata tamaa, wasomi wetu ni wabinafsi pia na fikra zao hazinatofauti kubwa nawakulima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unachokielezea hapa kuhusu ujinga, utashi, ukaidi, ubinafsi ni muendelezo wa nadharia yangu ama kitu tofauti?

1. Wakulima siyo watu wajinga.

2. Utashi wa kisiasa unatengenezwa siyo genetic component ya mtu.

3. Kiama viongozi ni wakaidi, ukaidi wao unalalia katika mfumo uliopo. Unaonja wekiwa wakaidi katika kupingana na mfumo tegemezi? Haitapendeza?

4. Siyo kila msomi ni kiongozi. Hakuna msomi atakeyekuwa mbinafisi wakati anaambukizwa yeye na familia yake maradhi ya mauti kwa jina la chanjo huku agenda halisi kiwa ni kupunguza population.

5. Siku zote viongozi huwa ni wachache na hao ndio wanatakiwa kusimamia ujenzi wa mifumo sahihi itakayokuwa na maslahi mapana na ya muda mrefu kwa taifa la leo na kesho.

Tuungane, mimi na wewe wenye mindset sahihi, tuwaelemishe wengine huku tukiwashauri viongozi wajenge mfumo ambao sisi wote pamoja na hao wakaidi, wabinafsi, wakulima, etc, tutaufuata.
 
Sisi ni donor country kama Uganda walikua hawajui! Tunawa donate mbegu za Covid-19 sie zimekua nyingi kwetu, Ko majirani tunaomba watuelewe tu hivyo hivyo.
 
Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda.

“Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa Malori ni 1578 na kati yao Watanzania wanne wamebainika kuwa na corona, wengine 411 tuliowapima sio Madereva na wote ni wazima”
#MillardAyoUPDATES
 
Sisi ni donor country kama Uganda walikua hawajui! Tunawa donate mbegu za Covid-19 sie zimekua nyingi kwetu, Ko majirani tunaomba watuelewe tu hivyo hivyo...

Wenzetu kila baada ya muda mfupi wanatoa updates za corona, sisi shida nn? Siku ya ngapi leo hakuna updates? Why madereva wa safari ndefu wasipimwe kabla ya kusafiri? Dereva katoka na ugonjwa Dar hadi afike uganda hapo katikati kaambukiza wangapi ambao hawakujikinga. Aisee, huu mzunguko ukiendelea hv tutakwama.
 
Niliwaambia corona ni ugonjwa wa kawaida tu

Km mtu anaendesha IT hadi uganda na haumwi haumwi chochote sidhani km kuna haja ya kujifungia ndani
Mbona mmefunga shule na vyuo kama ni ugonjwa wa kawaida?
 
Nabashiri watoto kurudi shule katika siku 30 zijazo.Na haya yatakua maamuzi mabovu kuwahi kutokea
 
Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda.

“Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa Malori ni 1578 na kati yao Watanzania wanne wamebainika kuwa na corona, wengine 411 tuliowapima sio Madereva na wote ni wazima”
#MillardAyoUPDATES
Madereva wetu waache kwenda Uganda, kunadalili za kama ka kuwakomoa Watanzania.
 
Niliwaambia corona ni ugonjwa wa kawaida tu

Km mtu anaendesha IT hadi uganda na haumwi haumwi chochote sidhani km kuna haja ya kujifungia ndani
Ni ugonjwa wa kawaida kwa mtu mwenye kinga ya mwili kubwa, madereva wengi sio wazee na wanachapa kazi kila siku, so wengi utasema angalau wanna afya ya kawaida, tatizo chukua dereva huyo moja, arudi nyumbani akutane na baba na mama wamezeeka wana vitu ka kisukari na afya mgogoro alafu awaambukize hapo ndipo utajua kama ni ugonjwa wa kawaida tu la, hawamalizi wiki mbili.

Kufanya kazi fanya ila usiambukize watu ambao wakiupata huu ugonjwa utawaua.
 
Back
Top Bottom