#COVID19 Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

Kwa kua hatuna maambukzi ya ndani haina shida.

#Jiwe effect
 
Idadi ya watanzania wanaokutwa na corona nchini Uganda imefikia Sita baada ya madereva wengine wanne kukutwa na ugonjwa huo mpakani mwatanzania na Uganda eneo la mutukula

BBC
Kukumweupe
Screenshot_2020-04-27-11-35-05.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madereva wa malori ya masafa marefu sasa hivi watakua wanaendesha kwa raha mustarehe,maana ma-traffic watakua wanaogopa kuwasimamisha njiani sababu wanajua wajomba wako wana-supply covid hawachelewi kuwagawia na hao jamaa wa barabarani.
Na matrafiki wanavyopenda hongo kutoka kwa madereva wa malori, lazima baadhi yao watakuwa sasa wanatembea na virusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Hawa madereva mbona wako care less Sana? Ukimwi nao Hawa Hawa ndo waliueneza, hivi hawafikiliagi family zao?
 
Kwa hapa Tanzania, hatuji kuendelea ngo'ooooo kwasababu ya Siasa.

Mambo mengi yameharibika mnooo kwa mfano shule moja hapa ya Secondary ilikuwa na wanafunzi balaaa lakini yalipoingizwa mambo ya Siasa, huyu wa CCM ndiyo anafaa, yule wa Chadema hafai kufundisha.

Uliza sasa hivi wamebakiwa na majengo na viwanafunzi sijui viko mia mbili wakati nakumbuka wakati hazijaingia Siasa shuleni hapo wanafunzi kidato tu cha kwanza karibia Mia sita bado vidato vingine wakitoka shule kijiji kizima kinamezwa na wanafunzi walivyo wengi mtaani ______________

Na kwa nini sehemu nyingi hasa miji au majiji yalienda upinzani hasa zenye maendeleo (Mbeya mjini, Arusha mjini, Dar Esta salaam,)

Kuna kitu kimejificha hapa ________________

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys, cant we make our own testing materials and equipment? Ninapata mashaka na kila kitu kinachozunguka huu ugonjwa. Kama kuna Masks zinaletwa ziko infected, maana yake ni kwamba tumetengenezewa mkakati wa kutuondoa usoni pa dunia.

Ukijumlisha na usemi wa Billy Gates kwamba tumezidi kuwa wengi duniani na ili dunia ipunguziwe uharibifu kunatakiwa kupunguza watu, akaendelea kusema wanaweza kupunguza kama wakicheza vizuri kwenye chanjo, na pia kwamba baada tu ya demand ya vifaa tiba kuhitajika kwa wingi duniani China Government imetake over viwanda vyote husika hata private kiasi hata mmiliki hana access ya kujua kinachozalishwa humo viwandani na serikali ni nini, na mengine mengi, si jambo la ajabu kuwa testing kits ziko infected kwamba unachukua specimen, unaji infect, ama unapopima kwenye reagents kuna virus.

Watu wazima wanapoambiwa wana virus na kuchanganywa na wangonjwa wanaweza kupata maambukizi kwenye ward ama kwenye kuchukua vipimo.

Nina sababu ya kuwa na mashaka na kila kitu wanachofanya kwenye mili yetu hawa watu. Agenda yao ni mbaya sana kwa Africa.

Naomba ndugu zangu tusigawanyike badala yake tuungane na kutafuta suluhisho za matatizo yetu kutoka ndani. Tukiendellea kuwachekelea hawa watu kwa kudhani wanatuusaidia tutakwisha. Hawatutaki.
We ni mjinga Kama walivyo waafrika wengi, dawa, chanzo karibia zote zinatoka kwa wazungu huo mkakati wa kuuwa waafrika wangekua nao wangeshautekeleza mda sana, achana na stori za vijiweni
 
Wewe
Wenzetu kila baada ya muda mfupi wanatoa updates za corona, sisi shida nn? Siku ya ngapi leo hakuna updates? Why madereva wa safari ndefu wasipimwe kabla ya kusafiri? Dereva katoka na ugonjwa Dar hadi afike uganda hapo katikati kaambukiza wangapi ambao hawakujikinga. Aisee, huu mzunguko ukiendelea hv tutakwama.

Wewe unaaminije kama hawajasingiziwa, yaani ni uganda tu ndo watanzania madeleva wanaenda? Mbona kungine hatusikii madeleva wakikutwa na corona?.
 
Watu wameona? Hizi Ndio akili za Chadema

Kwani ni mara ya kwanza mtu kufa nje na watu wakakimbia ? Hujui wanakwepa jinai hapo!
Jinao mtu kafa kwa Corona?Za kuambiwa changanya na zako!Chukua hatua na jilinde wewe na familia yako dhidi ya Corona!
 
Guys, cant we make our own testing materials and equipment? Ninapata mashaka na kila kitu kinachozunguka huu ugonjwa. Kama kuna Masks zinaletwa ziko infected, maana yake ni kwamba tumetengenezewa mkakati wa kutuondoa usoni pa dunia.

Ukijumlisha na usemi wa Billy Gates kwamba tumezidi kuwa wengi duniani na ili dunia ipunguziwe uharibifu kunatakiwa kupunguza watu, akaendelea kusema wanaweza kupunguza kama wakicheza vizuri kwenye chanjo, na pia kwamba baada tu ya demand ya vifaa tiba kuhitajika kwa wingi duniani China Government imetake over viwanda vyote husika hata private kiasi hata mmiliki hana access ya kujua kinachozalishwa humo viwandani na serikali ni nini, na mengine mengi, si jambo la ajabu kuwa testing kits ziko infected kwamba unachukua specimen, unaji infect, ama unapopima kwenye reagents kuna virus.

Watu wazima wanapoambiwa wana virus na kuchanganywa na wangonjwa wanaweza kupata maambukizi kwenye ward ama kwenye kuchukua vipimo.

Nina sababu ya kuwa na mashaka na kila kitu wanachofanya kwenye mili yetu hawa watu. Agenda yao ni mbaya sana kwa Africa.

Naomba ndugu zangu tusigawanyike badala yake tuungane na kutafuta suluhisho za matatizo yetu kutoka ndani. Tukiendellea kuwachekelea hawa watu kwa kudhani wanatuusaidia tutakwisha. Hawatutaki.
Come on, you are better than that; ugonjwa unaambukiza, hatujachukua hatua za kupunguza maambukizi kupitia social distancing, kila kitu kinaendelea kama kawaida ni vipi unashangaa kuwepo kwa maambukizi mengi.

Hebu tuache mawazo ya kishirikina jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys, cant we make our own testing materials and equipment? Ninapata mashaka na kila kitu kinachozunguka huu ugonjwa. Kama kuna Masks zinaletwa ziko infected, maana yake ni kwamba tumetengenezewa mkakati wa kutuondoa usoni pa dunia.

Ukijumlisha na usemi wa Billy Gates kwamba tumezidi kuwa wengi duniani na ili dunia ipunguziwe uharibifu kunatakiwa kupunguza watu, akaendelea kusema wanaweza kupunguza kama wakicheza vizuri kwenye chanjo, na pia kwamba baada tu ya demand ya vifaa tiba kuhitajika kwa wingi duniani China Government imetake over viwanda vyote husika hata private kiasi hata mmiliki hana access ya kujua kinachozalishwa humo viwandani na serikali ni nini, na mengine mengi, si jambo la ajabu kuwa testing kits ziko infected kwamba unachukua specimen, unaji infect, ama unapopima kwenye reagents kuna virus.

Watu wazima wanapoambiwa wana virus na kuchanganywa na wangonjwa wanaweza kupata maambukizi kwenye ward ama kwenye kuchukua vipimo.

Nina sababu ya kuwa na mashaka na kila kitu wanachofanya kwenye mili yetu hawa watu. Agenda yao ni mbaya sana kwa Africa.

Naomba ndugu zangu tusigawanyike badala yake tuungane na kutafuta suluhisho za matatizo yetu kutoka ndani. Tukiendellea kuwachekelea hawa watu kwa kudhani wanatuusaidia tutakwisha. Hawatutaki.

MKuu kw akaili yako kabisa unamini tumeletewa gonjw ahili makusudi kupitia mask na dawa za kupuliza.
 
Wenzetu kila baada ya muda mfupi wanatoa updates za corona, sisi shida nn? Siku ya ngapi leo hakuna updates? Why madereva wa safari ndefu wasipimwe kabla ya kusafiri? Dereva katoka na ugonjwa Dar hadi afike uganda hapo katikati kaambukiza wangapi ambao hawakujikinga. Aisee, huu mzunguko ukiendelea hv tutakwama.
Njia nzima katoa leseni na documents zingine kwa matrafiki barabarani zenye virusi vya Covid 19, wao pia wanapeleka kwa madereva wengine na nyumbani kwao, the chain continues.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom