#COVID19 Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

#COVID19 Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

Niliwaambia corona ni ugonjwa wa kawaida tu

Km mtu anaendesha IT hadi uganda na haumwi haumwi chochote sidhani km kuna haja ya kujifungia ndani
Nendeni mkatoe maiti kwanza huko Dsm,kuna mtu toka jana kafia barabarani na hakuna mtu anadiriki kumsogelea!Maiti imekaa zaidi ya 24 hrs mpaka sasa!
 
Watu wameona? Hizi Ndio akili za Chadema

Kwani ni mara ya kwanza mtu kufa nje na watu wakakimbia ? Hujui wanakwepa jinai hapo!
Uliza humu jamvini kuna watu wameona Clouds 360 asubuhi ya leo!Acha ujinga!
 
Niliwaambia corona ni ugonjwa wa kawaida tu

Km mtu anaendesha IT hadi uganda na haumwi haumwi chochote sidhani km kuna haja ya kujifungia ndani

Ungekua ni ugonjwa wa kawaida tu, wewe na rafiki yako Pombe Yetu mngelikimbia Jiji na kwenda kujificha Kijijini?
 
Jitahidini kuweka vyanzo vya Habari
Usipate taabu, source hii hapa:-
Uganda.png
 
Ni ugonjwa wa kawaida kwa mtu mwenye kinga ya mwili kubwa, madereva wengi sio wazee na wanachapa kazi kila siku, so wengi utasema angalau wanna afya ya kawaida, tatizo chukua dereva huyo moja, arudi nyumbani akutane na baba na mama wamezeeka wana vitu ka kisukari na afya mgogoro alafu awaambukize hapo ndipo utajua kama ni ugonjwa wa kawaida tu la, hawamalizi wiki mbili.

Kufanya kazi fanya ila usiambukize watu ambao wakiupata huu ugonjwa utawaua.
Ugonjwa wa korona una incubation period ya siku 14, kwa hiyo unaweza kusafiri wiki nzima bila dalili zozote, hatari ya hu ungonjwa iko kwenye kusambaa, sio kuua rate ya kuua iko 5% tu......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WhatsApp-Image-2020-04-13-at-03.37.16-1-660x400.jpeg


Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda.

“Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa Malori ni 1578 na kati yao Watanzania wanne wamebainika kuwa na corona, wengine 411 tuliowapima sio Madereva na wote ni wazima”-WIZARA YA AFYA UGANDA

madereva from Tanzania????????????????????????????????????????????????????
 
inakuwaje huku kwetu hawaonekani na maambukizi ila wakifika nje ya mipaka vinaonekana...??????????
 
Wenzetu kila baada ya muda mfupi wanatoa updates za corona, sisi shida nn? Siku ya ngapi leo hakuna updates? Why madereva wa safari ndefu wasipimwe kabla ya kusafiri? Dereva katoka na ugonjwa Dar hadi afike uganda hapo katikati kaambukiza wangapi ambao hawakujikinga. Aisee, huu mzunguko ukiendelea hv tutakwama.
Madereva wa malori ya masafa marefu sasa hivi watakua wanaendesha kwa raha mustarehe,maana ma-traffic watakua wanaogopa kuwasimamisha njiani sababu wanajua wajomba wako wana-supply covid hawachelewi kuwagawia na hao jamaa wa barabarani.
 
Back
Top Bottom