Huku kwetu huwa hawapimwiinakuwaje huku kwetu hawaonekani na maambukizi ila wakifika nje ya mipaka vinaonekana...??????????
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu huwa hawapimwiinakuwaje huku kwetu hawaonekani na maambukizi ila wakifika nje ya mipaka vinaonekana...??????????
Wengine 411 sio madereva na hawana shida, ila madereva tu? Kuna tatizo mahali.![]()
Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda.
•
“Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa Malori ni 1578 na kati yao Watanzania wanne wamebainika kuwa na corona, wengine 411 tuliowapima sio Madereva na wote ni wazima”-WIZARA YA AFYA UGANDA
madereva from Tanzania????????????????????????????????????????????????????
Wamewaleteeni Ukimwi na kuwaaminisheni hauna tiba kiongozi, sijui ndo wanawapenda?We ni mjinga Kama walivyo waafrika wengi, dawa, chanzo karibia zote zinatoka kwa wazungu huo mkakati wa kuuwa waafrika wangekua nao wangeshautekeleza mda sana, achana na stori za vijiweni
Hapa inaonesha nawe pia una mtazamo wa ajabu kama hao unaowasema.wasomi wetu ni wabinafsi pia na fikra zao hazinatofauti kubwa nawakulima
Na wanawapa ARV bure hawawapendi kabisa, wangetakiwa wasiwapeWamewaleteeni Ukimwi na kuwaaminisheni hauna tiba kiongozi, sijui ndo wanawapenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea yuko kwenye stage gani. Kuna stages za mild symptoms.. hapa mafua na kikohozi kuumwa kichwa na homa.Niliwaambia corona ni ugonjwa wa kawaida tu
Km mtu anaendesha IT hadi uganda na haumwi haumwi chochote sidhani km kuna haja ya kujifungia ndani
Hahaha wanatesaje kwa mfano? Since when ukawa unajali raia wa uganda?Uganda wanatesa raia wao
Hahaha wanatesaje kwa mfano? Since when ukawa unajali raia wa uganda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameweka partially lockdown. Hata hivyo serikali yenyewe inagawa vyakula. Na imeanza hivyo tokea mwanzoni kabisa.Kwanini wanafungia Raia Ndani hali hawana chakula ?
Chanzo cha hio habari ni wizara ya Afya.Jitahidini kuweka vyanzo vya Habari
5% unaijua vizuri au unaongea tu?Ugonjwa wa korona una incubation period ya siku 14, kwa hiyo unaweza kusafiri wiki nzima bila dalili zozote, hatari ya hu ungonjwa iko kwenye kusambaa, sio kuua rate ya kuua iko 5% tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupa General view ya ungonjwa sio specifically kwa Tanzania. Mkuu vip mbona unachanganya madaso kwani watanzania wote wameambukizwa ili upate hiyo %5% unaijua vizuri au unaongea tu?
Tanzania population tupo almost 60mil, tuseme 50mil wapate sababu ya uzembe, hiyo 5% ni watu 2.5mil. Unajua vifo 2.5mil vilivyo? Acha utani, hivyo ni vifo vingi mno kwa hiyo next time unavyoongelea asilimia flani em fikiria vizuri kabla ya kuongea, piga hesabu kwanza.
Huu ugonjwa ni hatari mno.
Mkiuchukulia juu juu mnadhani wataugua wangapi? Nimekuonyesha ili ujue risk iliyopo, mkileta mzaa huu ugonjwa utawaua vibaya mnoNimekupa General view ya ungonjwa sio specifically kwa Tanzania. Mkuu vip mbona unachanganya madaso kwani watanzania wote wameambukizwa ili upate hiyo %
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia Mnazimmoja, hivi iko wapi?Kuna nchi naskia wameshaanza kuokota maiti mitaani. Hatari
Mnazi mmoja ipo kariakoo Dar es salaamNimesikia Mnazimmoja, hivi iko wapi?
Ni vema kujifunza toka kwa Museveni walifanyaje right from the beginning!