Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

Hiyo ndio hatari ya corona, ni kidude kimetokea jehanamu maana kinavyopindisha pindisha mpaka kimezidi kila mmoja akili.
Ingekua hakiui watu, kila mmoja angejiachia tu maana sio rahisi kukwepa, ila sasa chenyewe kinachagua nani wa kuua na nani wa kuachwa salama, maana hamna pattern yoyote, kinaua vijana na kusaza baadhi, kunaua wazee na kuaachia baadhi, kinaua waliokua wazima na pia kusaza baadhi ya waliokua wazima.
Nakukubali Sana MK254, nakukaribisha Tanzania 🇹🇿 uje ugombee Urais. Aliyekalia kiti katuacha kwenye mataa🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦
 
VIONGOZI WA WIZARA YA AFYA WAJIUZURU KWA KUSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WA KUPAMBANA NA CORONA

Wakati leo madereva wengine nane (8) wa malori wakikutwa na COVID 19 mpakani Namanga wakitokea Tanzania, naibu waziri wa afya Kenya bi Mercy Mwangangi ametoa wito kwa wakenya waishio mpakani na Tanzania kuanzisha ulinzi shirikishi wa nyumba 10 kubaini watakaoingia nchini humo kupitia njia za panya.

Jana kuna video niliona mtanzania akikokotwa na polisi wa Kenya kurudishwa Tanzania huku akiambulia kipigo. Musiende kwa wenzenu hawawataki. Huku nchi yenu ikiwa haifanyi jitihada zinazokubalika kitaalam kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu bado mnaonekana nyinyi ni tatizo sugu la kusambaa kwa COVID 19 kwa majirani zenu.
 
VIONGOZI WA WIZARA YA AFYA WAJIUZURU KWA KUSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WA KUPAMBANA NA CORONA
Ummy yupo twita anatoa taarifa 😀
Screenshot from 2020-05-14 18-21-01.png
Screenshot from 2020-05-14 18-20-45.png
 
Wachaga ( wao wako mpakani) ndio huingia Kenya kwa njia za Panya, na chadema iko strong huko KLM hivyo chadema waambieni watu wenu wabakie Migombani, ...
Sijajua kuwa tumeeanza kutengana kwa makabila, dah
 
Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Haya ni uongo. Mtu ukishashikishwa akili hapo Lumumba huna hata haja ya kuifahamu dunia maana unaambiwa hao ni mabeberu hawatutakii mema. Yani nchi ina miaka 59 sasa leo ndiyo anakuja mtu asiyeijua vizuri dunia anahubiri ubeberu! Shame
 
Yesterday they found 25 truck drivers having the virus at Namanga and 23 of them were Tanzanians, I Ugandan and 1 Rwandan.
 
Back
Top Bottom