Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

Bado sana ndugu yangu tusijipe moyo tupo milioni 57 ikifikisha angalau million moja tu Kuna hatari ya kukipata chamoto , yote kwa yote tumwombe Mungu atuepushe na baya lolote kama kweli litakuja mbele yetu maana Italy walikuwa wabishi hivi hivi by January na ilipofika March nadhani kila mtu anajua
Najua sana tuna safari ndefu, ila sasa huyu jamaa ni mbishi mbishi sana, anapenda ligi
 
Bro...Mambo mengine tumwachiage Mungu tumwambie Baba hili hatuwezi...Mungu anasikia.Hakuna dhambi kumwambia Mungu kwamba huku kwetu Africa hatuna kimbilio Ila ni wewe Baba....kujilinganisha na Sweden au Somalia, au nchi yoyote haitusaidii....Kama kuchukua tahadhar watu wameshachukua Sana but wapi...bilabila....Tumlilie Mungu atuponye.Lockdown, takwimu data, haieaidii kitu...hata ukiambiwa leo Tanzania wamekufa 190009999000....itakusaidia nini? Acha niende zangu kwenye mkesha kanisani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumlilie Mungu tukimaanisha ila sio kwa unafiki, wewe hapo unakwenda mkesha ila kuna mwingine anakwenda kilabu kunywa beer na atalala na changudoa usiku, huyo naye anasema amemuachia Mungu.

Ikumbukwe Mungu anasema tunaisha kwa kukosa maarifa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu unaweza kuweka idadi kamili ya Watanzania ikiwemo madereva waliozuiliwa kuingia Kenya kutokana na kuwa waathirika wa COVID-19?

MK254
 
Mkuu unaweza kuweka idadi kamili ya Watanzania ikiwemo madereva waliozuiliwa kuingia Kenya kutokana na kuwa waathirika wa COVID-19?

Sina taarifa zote ila serikali imekua kila ikipima na kuwakuta na kirusi wanapokezwa kwa mamlaka husika Tanzania, wanapimiwa ndani ya ardhi yaa Tanzania kabla kugongewa muhuri wa kuingia Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa akili yako unadhani Corona imetoka wapi....kama sio dili za mabeberu sema wamechemka imewatafuna wao zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaongelea ilikotoka korona. Naongelea maamuzi ya viongozi kulinda raia wao.

Tukijifunza kujichunguza tunapokosolewa badala ya kuwa blame throwers tutafika mbali sana.(kwa akili yangu)
 
Bado sana ndugu yangu tusijipe moyo tupo milioni 57 ikifikisha angalau million moja tu Kuna hatari ya kukipata chamoto , yote kwa yote tumwombe Mungu atuepushe na baya lolote kama kweli litakuja mbele yetu maana Italy walikuwa wabishi hivi hivi by January na ilipofika March nadhani kila mtu anajua.
Unataka kuniambia toka kirusi kianze mpaka leo bado hatujafika 1m ukiangalia hatukuchukua hatua zozote zile?acha kujitisha corona ipo na tunaishi nao.
 
Hongera sana mzee Kenyatta, tuko vizuriiii, waswahili wazeee wa koronaaa tupa kuleeeeee.
 
Nasikitika Kenya wanavyotumika kuihujumu Tanzania. Mabeberu hawatakaa kuwaza kuyaacha Makoloni yenye Rasilimali kiasi hiki. Na hapa inapandikizwa chuki baina ya Mataifa haya jirani.Watanzania ni bora tuchambane wenyewe kwa utamaduni wetu ila linapokuja suala la hujuma tuungane tu laa sivyo hatupo salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuniambia toka kirusi kianze mpaka leo bado hatujafika 1m ukiangalia hatukuchukua hatua zozote zile?acha kujitisha corona ipo na tunaishi nao.
1m bado sana ndugu yangu hata laki si bure hatujafika.
 
Hakuna vifo vya corona Tanzania, hata RC analijua hilo. Ni upinzani tu walichonga majeneza na kuyazika usiku ili kuichafua serikali.
Iringa walifukua kaburi wakakuta halina kitu. Very interesting.
 
get ur shit together!
[/QUOTE]
Nimepata taarifa hakuna maabara iliyofungwa, vipimo viliendelea ila havijatangazwa, sasa sijui nani ni mjinga hapa.
 
get ur shit together!
Nimepata taarifa hakuna maabara iliyofungwa, vipimo viliendelea ila havijatangazwa, sasa sijui nani ni mjinga hapa.
[/QUOTE]

1589552096804.png

Msemaji mkuu wa serekali amesema maabara ya taifa imefungwa (the only one in Tanzania capable of conducting covid-19 tests), sasa tuamini kajamba kama wewe?
 
Nilicho jifunza unaweza kuwa na maambukizi ya Corona na usijue. Unaweza jiona uko safi kabisa ata dalili za Corona hamna kumbe usha ukwaa.

Tatizo si kuwa nao, Ila kuambukiza wengine. Hapo ndipo kuwaweka wenye magonjwa mengine na wazee kwenye hatari zaidi.

Ni ubinafsi wa hali ya juu kwa anayeambukiza kama analijua hilo na kwa mamlaka zinazoendelea kuwaacha watu wasio na hatia hatarini.

Kwa sasa itoshe kusema Mungu anawaona na awakirimu sawa sawa kwa wema au udhalimu wenu.
 
Nimepata taarifa hakuna maabara iliyofungwa, vipimo viliendelea ila havijatangazwa, sasa sijui nani ni mjinga hapa.

Msemaji mkuu wa serekali amesema maabara ya taifa imefungwa (the only one in Tanzania capable of conducting covid-19 tests), sasa tuamini kajamba kama wewe?
[/QUOTE]
Leo hii waziri kasema wanaendelea kupima, sasa najua mjambaji ni wewe, kwa sababu hiyo twit siyo kutoka kwa Hassan Abbas ila fala fulani na uzushi wa kijinga.
 
Back
Top Bottom