Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

Nakukubali Sana MK254, nakukaribisha Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ uje ugombee Urais. Aliyekalia kiti katuacha kwenye mataa🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦
 
VIONGOZI WA WIZARA YA AFYA WAJIUZURU KWA KUSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WA KUPAMBANA NA CORONA

 
Wachaga ( wao wako mpakani) ndio huingia Kenya kwa njia za Panya, na chadema iko strong huko KLM hivyo chadema waambieni watu wenu wabakie Migombani, ...
Sijajua kuwa tumeeanza kutengana kwa makabila, dah
 
Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Haya ni uongo. Mtu ukishashikishwa akili hapo Lumumba huna hata haja ya kuifahamu dunia maana unaambiwa hao ni mabeberu hawatutakii mema. Yani nchi ina miaka 59 sasa leo ndiyo anakuja mtu asiyeijua vizuri dunia anahubiri ubeberu! Shame
 
Yesterday they found 25 truck drivers having the virus at Namanga and 23 of them were Tanzanians, I Ugandan and 1 Rwandan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…