Najua sana tuna safari ndefu, ila sasa huyu jamaa ni mbishi mbishi sana, anapenda ligiBado sana ndugu yangu tusijipe moyo tupo milioni 57 ikifikisha angalau million moja tu Kuna hatari ya kukipata chamoto , yote kwa yote tumwombe Mungu atuepushe na baya lolote kama kweli litakuja mbele yetu maana Italy walikuwa wabishi hivi hivi by January na ilipofika March nadhani kila mtu anajua
Tumlilie Mungu tukimaanisha ila sio kwa unafiki, wewe hapo unakwenda mkesha ila kuna mwingine anakwenda kilabu kunywa beer na atalala na changudoa usiku, huyo naye anasema amemuachia Mungu.Bro...Mambo mengine tumwachiage Mungu tumwambie Baba hili hatuwezi...Mungu anasikia.Hakuna dhambi kumwambia Mungu kwamba huku kwetu Africa hatuna kimbilio Ila ni wewe Baba....kujilinganisha na Sweden au Somalia, au nchi yoyote haitusaidii....Kama kuchukua tahadhar watu wameshachukua Sana but wapi...bilabila....Tumlilie Mungu atuponye.Lockdown, takwimu data, haieaidii kitu...hata ukiambiwa leo Tanzania wamekufa 190009999000....itakusaidia nini? Acha niende zangu kwenye mkesha kanisani kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuweka idadi kamili ya Watanzania ikiwemo madereva waliozuiliwa kuingia Kenya kutokana na kuwa waathirika wa COVID-19?
Sijaongelea ilikotoka korona. Naongelea maamuzi ya viongozi kulinda raia wao.Kwa akili yako unadhani Corona imetoka wapi....kama sio dili za mabeberu sema wamechemka imewatafuna wao zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuniambia toka kirusi kianze mpaka leo bado hatujafika 1m ukiangalia hatukuchukua hatua zozote zile?acha kujitisha corona ipo na tunaishi nao.Bado sana ndugu yangu tusijipe moyo tupo milioni 57 ikifikisha angalau million moja tu Kuna hatari ya kukipata chamoto , yote kwa yote tumwombe Mungu atuepushe na baya lolote kama kweli litakuja mbele yetu maana Italy walikuwa wabishi hivi hivi by January na ilipofika March nadhani kila mtu anajua.
Hizo stock zitasaidia nani ikiwa tutapoteza robo ya wananchi wenu kwa corona? Ni wakati Watanzania muanze kushirikisha Ubongo.Tuna stock ya kutosha kuweza kusupply to the rest of Africa.
Watanzania your obsession na mabeberu ndo itawamaliza.....corona inauaKwa akili yako unadhani Corona imetoka wapi....kama sio dili za mabeberu sema wamechemka imewatafuna wao zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
1m bado sana ndugu yangu hata laki si bure hatujafika.Unataka kuniambia toka kirusi kianze mpaka leo bado hatujafika 1m ukiangalia hatukuchukua hatua zozote zile?acha kujitisha corona ipo na tunaishi nao.
Tanzania [emoji1241] ni kichaka Cha Corona
Hakuna Nyangau anaeweza kumpiga Mtanzania[emoji1241] ata siku moja
Hakuna vifo vya corona Tanzania, hata RC analijua hilo. Ni upinzani tu walichonga majeneza na kuyazika usiku ili kuichafua serikali.Hizo stock zitasaidia nani ikiwa tutapoteza robo ya wananchi wenu kwa corona??..ni wakati watanzania muanze kushirikisha Ubongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Iringa walifukua kaburi wakakuta halina kitu. Very interesting.Hakuna vifo vya corona Tanzania, hata RC analijua hilo. Ni upinzani tu walichonga majeneza na kuyazika usiku ili kuichafua serikali.
Nimepata taarifa hakuna maabara iliyofungwa, vipimo viliendelea ila havijatangazwa, sasa sijui nani ni mjinga hapa.get ur shit together!
Nilicho jifunza unaweza kuwa na maambukizi ya Corona na usijue. Unaweza jiona uko safi kabisa ata dalili za Corona hamna kumbe usha ukwaa.
Nimepata taarifa hakuna maabara iliyofungwa, vipimo viliendelea ila havijatangazwa, sasa sijui nani ni mjinga hapa.