Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
wabena tumefikwa,,, kamweneUnaoaje mnyaki, wabena hukuwaona?
Jiandae kutombewa kawaida sana kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wabena tumefikwa,,, kamweneUnaoaje mnyaki, wabena hukuwaona?
Jiandae kutombewa kawaida sana kwao.
Oky .Hapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).
Pia mama kuwa na sauti mmh hapana hivi unawajua mashangazi na kaka yao(baba binti) mkuu ? Wao ndiyo wenye sauti, Mama anakua anasikiliza tu hana say sana.
Karibuni muoe unyakyusani, tuna roho nzuri mno siyo wabishi( najipigia promo kidogo😃🥰 )
Ndoa ni utapeliMama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.
Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.
Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.
Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.
Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000
Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.
Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Kabisa.
Wacha walee wajukuuHili ndo jibu sahihi, uzi ulitakiwa uishie hapa. Wao kama wanataka hela nyingi, wabaki tu na watoto wao.
Cha kushangaza inaonekana binti teyari ana ujauzito na wanaleta maringo..binti naye kuna sehem hayuko sawa.Nilikuwa natafuta hii comment na nimeipata. Exactly. Unakataa laki na nusu ya posa ni wapi una uhakika wa kupata 150,000 huko? [emoji848]
Kosa kubwa nikwamba umefanya uwekezaji kabla ya utafiti.. wazungu sisi tunafanya tafiti ndio tunajua hili eneo kwa uwekezaji linafaa au halifai..Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.
Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.
Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.
Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.
Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000
Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.
Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Wakifanya ujinga huu ripoti polisi watakamatwa wote kwa kosa la kuhatarisha uhai wa mtoto na kumtelekeza mtoto.Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Hata Sasa anayo nafasi ya kukimbia. Kumtia mimba binti.siyo kwamba lazima umuoe. Kosa liko kwa binti kukubali kupanua upaja kabla ya kuolewa.Kosa kubwa nikwamba umefanya uwekezaji kabla ya utafiti.. wazungu sisi tunafanya tafiti ndio tunajua hili eneo kwa uwekezaji linafaa au halifai..
Ukiona familia ya wife ndio hiyo kimbia broo
We jamaa hukubaliki kwenye hiyo familia, kimbia......Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.
Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.
Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.
Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.
Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000
Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.
Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Hahaaa lete hata viazi mbatata tu vinatosha 😃Oky .
Umewatetea na kujitetea. Najua huwezi kuwakandamiza nduguzo.😀
Sasa vipi bata wawili watapokea nilete nikuchukue...😉
Inaelekea ulizaliwa jalalaniNdoa ni utapeli
Viazi vinaweza ozea njiani nikakosa mke.Hahaaa lete hata viazi mbatata tu vinatosha 😃
Kwa guu lile kule kwenye uzi ule wala huhitaji kujipigia promo maana we Pisi Kali uliyenona [emoji847]Hapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).
Pia mama kuwa na sauti mmh hapana hivi unawajua mashangazi na kaka yao(baba binti) mkuu ? Wao ndiyo wenye sauti, Mama anakua anasikiliza tu hana say sana.
Karibuni muoe unyakyusani, tuna roho nzuri mno siyo wabishi( najipigia promo kidogo[emoji2][emoji3059] )