Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Oky .


Umewatetea na kujitetea. Najua huwezi kuwakandamiza nduguzo.πŸ˜€

Sasa vipi bata wawili watapokea nilete nikuchukue...πŸ˜‰
 
Ndoa ni utapeli
 
Kosa kubwa nikwamba umefanya uwekezaji kabla ya utafiti.. wazungu sisi tunafanya tafiti ndio tunajua hili eneo kwa uwekezaji linafaa au halifai..

Ukiona familia ya wife ndio hiyo kimbia broo
 
Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Wakifanya ujinga huu ripoti polisi watakamatwa wote kwa kosa la kuhatarisha uhai wa mtoto na kumtelekeza mtoto.

Nipigie simu hata mm nitakuja.
 
Kosa kubwa nikwamba umefanya uwekezaji kabla ya utafiti.. wazungu sisi tunafanya tafiti ndio tunajua hili eneo kwa uwekezaji linafaa au halifai..

Ukiona familia ya wife ndio hiyo kimbia broo
Hata Sasa anayo nafasi ya kukimbia. Kumtia mimba binti.siyo kwamba lazima umuoe. Kosa liko kwa binti kukubali kupanua upaja kabla ya kuolewa.
 
We jamaa hukubaliki kwenye hiyo familia, kimbia......
Haiwezekani umeenda kuoa watu wakupokee Kwa mkwara namna hiyo.
Hapo wanaona mtoto imelilia wembe Kwa kihelehele chako Cha kumtia mimba Binti yao.
Hivyo wanakupa mtihani mzito, ukiweza iwe faida kwao, ukishindwa basi watalea mjukuu wenyewe, no problem that way.
 
Kwa guu lile kule kwenye uzi ule wala huhitaji kujipigia promo maana we Pisi Kali uliyenona [emoji847]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
"1. Ukimtongoza akakukatalia, usimzingue na kumzushia uongo. Siyo lazima kukubaliwa naye.

2. Mcheki mara moja. Mara ya pili. Hataki kujibu. Achana naye. Usimsumbue. Hamisha kambi.

3. Usijishushe kiwango cha mwisho. Hataki kuongea, achana naye. Usifosi. Siyo mama yako huyo bablai"
Brigedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…