Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa


DOGO BADO HAUPO TAYARI KUOA. TSH 250,000 YA POSA UNAKUJA ANZISHA UZI? MAHARI SI NDO UTALIA KABISA. WATU POSA TUNATOA MPAKA MILION MOJA NA KUENDELEA NA MKE AKIZINGUA TUNAMWACHA. MADOGO MNADEKA SANA MIAKA HII. NDO MAANA MNASHINDWA KULEA FAMILIA.
 
Ni familia hiyo uliyoenda kuoa sio kabila zima, na hiyo uliyopeleka ni posa yaan kishika uchumba hakitakiwi kuzidi 100,000/= labda kama umempa mimba kabisa hapo ndo faini inakuhusu inainzia 150,000-300,000/= kuhusu maamuzi yako chini ya baba na mashangazi sio mama, nimeoa unyakyusani na mwaka wa nane huu niko na mama chanja wangu life linaenda. Onyesha msimamo ukienda kinyororo utakula za uso
 
Jamaa limezalisha mtoto wa watu ndo linajipeleka ukweni, acha waliparuwe.
 
Hongera Mkuu kuweza kuwa na nia ya Kuoa

Nashauri mapenzi yenu yasiathiriwe na Wazazi kama ninyi wenyewe mmependana

Suala la ubabe wa Mkeo mtarajiwa lisikukatishe tamaa

Ana nafasi ya kubadirika ukishamuweka ndani kwako

Mke wangu sio Mnyakikyusa ila nililipa Posa Pekee shilingi 200,000 na ni zamani kidogo πŸ€—
 
Zamani kidogo ndio kuanzia miaka ya afu moja mia nane na ngapi?
 
Wapi huko kwa 30k?? Watu wanatoa M na bado ni kawaida sana
 
We ndio Kajinga. Hakuna mtu anapelekeshwa hivyo, kwani Huna Mshenga?
 
DOGO BADO HAUPO TAYARI KUOA. TSH 250,000 YA POSA UNAKUJA ANZISHA UZI? MAHARI SI NDO UTALIA KABISA. WATU POSA TUNATOA MPAKA MILION MOJA NA KUENDELEA NA MKE AKIZINGUA TUNAMWACHA. MADOGO MNADEKA SANA MIAKA HII. NDO MAANA MNASHINDWA KULEA FAMILIA.
250k kisa mbunye tuuu, kweli wewe Chizi Maarifa

#YNWA
 
Sikia, hama mtaa.. binti asijue unaishi wapi, hiyo 250 kwenye posa ni kubwa mno, hauoi kijiji kizima
Kataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…