Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Una
Unalia 250K - kuna ndoa hapo?
 
Kwa kweli mashangazi wa kinyaki Wana tuzo yao
Kabisa mfano binti wa kaka yake mkulima mdogo mkazi wa kijijini anaoza binti yaje kijijini Shangazi yake huyo binti hata kama anafanya kazi umoja wa mataifa New York Marekani lazima ateremke kijijini kuja kuoza huyo binti.mtoto wa kaka yake mkulima hapi kijijini asimamie kuanzia kupokea posa,mahari nk
Wapewe maua yao mashangazi wa kinyakyusa
 
Nimesoma shule ambayo wanafunzi wengi walikuwa ni wa kutoka ukanda huo. Shule ilikuwa ni ya kilimo hivyo walichukuliwa wengi kutoka huko kwakuwa ni wachapa kazi. Na kweli ni wachapakazi, ila kwa ubabe kweli ni wababe. Nimefikiria wanawake wa kinyaki kadhaa ninaowafahamu, kwakweli kuwatetea ni ngumu🤣🤣
 
Wewe ni legelege sana, mnyaki hutomuweza.
Mwanamke wa kinyakyusa hataki mwanaume legelege kama wanaume wa Pwani anataka mchapa kazi hasa sababu hata wao wachapa kazi hasa iwe kijijni wanachapa kazi sio mchezo.Hawalelewi kilegelege hata siku moja..Sasa akikutana na kidume legelege lazina kiwake.Hiyo sio siri.
Mwanamke wa kinyakyusa hawezi bembeleza kidume kama kiko saluni kinasukwa nywele kinaweka kichwa kwenye paja aweza kitandika hata makofi.Ndipo hapo wengine huona wanawake wa kinyakyusa wakorofi
 

Wewe ni hao wote akili zinafanana.
Hizo pesa uliweka za nini? Posa ni nini hasa?
Mtaacha lini kudhalilisha wanawake?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mbona hiyo 3000 kubwa mkuu mimi kuna siku maza alirudi na 500 anasema ni mahari ya flani tumegawana na wako happy kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kabila ambalo halitupi mtoto Tanzania kumwachia mume huenda wanyakyusa tukashika namba moja....udhaifu wetu ni kumbadilisha jina mtoto na kumpa la ukoo upande wa mama.
Kwa uzoefu wangu wanyakyusa wanapenda kugombea watoto siyo kususa watoto.
Ndugu tu anaweza ng'ang'ania mtoto wa ndugu yake hadi ugomvi.
Huyo anatishiwa nyau kashaonekana mwepesi kutoa pesa.
Hiyo familia mbaya kuoa.
 
Na mimi ni shangazi wa kinyaki; napokea maua yangu👏👏👏
 
Nitetee mimi basi angalau
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mbona hiyo 3000 kubwa mkuu mimi kuna siku maza alirudi na 500 anasema ni mahari ya flani tumegawana na wako happy kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kiukweli wanafurahi kwa kiasi chochote tu, wanyakyusa tuko vizuri bana na huruhusiwi kukataa mgao utaonekana humtakii mema binti😃
 
Ulishawahi sikia kuwa Shangazi ndio baba hiyo methali ilianzia kwa wanyakyusa. Baba mzazi hawezi oza binti wanaoza mashangazi ndio baba zake na wenye shughuli yao ya kuoza

Baba mzazi anatakiwa kufyata mdomo
Kabisaa ndiyo nimeshangaa mleta uzi anasema mama ndiye mwenye sauti😃😃 hawajui mashangazi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…