Madhara nitakayo pata kama nitachelewa kuripoti chuo

Madhara nitakayo pata kama nitachelewa kuripoti chuo

mhhhh////// jamaan humu ndani kuna vtuko daahhhh....dogo wah chuo maana first year kukosa hostel nalo tatzo pia
 
.Kwamfano ukachelewa kwa 2week had 3weeks itakuwaje.

Ukichelewa for 2wks unapoteza udahili wako automatic. Registration inafanyika the first week baada ya hapo Kama huja fika wanachukulia hauji na nafasi wanapewa second selection
 
Back
Top Bottom