KANDUDI RAYMOND
Member
- Aug 29, 2014
- 91
- 3
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa duuh umeenda mbali sana bro..kwahyo ndo mwawaita makontena.Akili za kuambiwa, una changanya na za kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa duuh umeenda mbali sana bro..kwahyo ndo mwawaita makontena.Akili za kuambiwa, una changanya na za kwako
Kontena jipyaa?? unamaanisha nn mkuu nijuze.
Kuwa na hekima basi mtu mzma siyo umri..pia kama hauna cha kuchangia vungaa 2.fanya kama haujaon hv.
unaeza kosa kontena jipya... utakuta wote washachukuliwa
.Kwamfano ukachelewa kwa 2week had 3weeks itakuwaje.
Nimekupata mkuu thankxUkichelewa for 2wks unapoteza udahili wako automatic. Registration inafanyika the first week baada ya hapo Kama huja fika wanachukulia hauji na nafasi wanapewa second selection