Lucas Mwashambwa anatia aibu sana. Yeye amebakia kuimba mapambio ya sifa lkn ikifika kwenye uteuzi wanamruka , wanateua wastaafu akina WasiraImfikie Lucas Mwashambwa na mama yake wa kufikia
Kuna watu machawa watachukia sana kwa ulichoandika.Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama uwezo wa aina fulani "survival of the fittest".
Kwenye nchi zenye utulivu na amani ya muda mrefu kama Tanzania mpk mazezeta na mazwazwa yanaishi, nayo yanazaliana kinoma. Haya ndiyo yanapekekea machawa kutapakaa na hatimaye tunapata viongozi mazezeta na mazwazwa.
Ni hayo tu
Walimuita mungu,masihi na shujaa.Kama yule zezeta wa Chato.
Lakini kwakuwa alikuwa akiongoza malofa basi hawaachi kumwabudu mpaka kesho