Twambie kipindi kina Lisu wamejazana bungeni waliwahi kuzuia nini kisipitishwe?
Kabisa mkuu. Angalia hivi Sasa eti mtu mmoja tu (rais) anatamka kutengua maamuzi ya bunge lililokaa kwa miezi 3 na posho wamelipwa. Sasa kama rais anafuta maamuzi ya bunge, uwakilishi wa wabunge kwa wananchi uko wapi?Haya ni madhara ya nchi kutokuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Washindwe na walegee. Mzee Mdee na wenzake ni wabunge wa ccm B.Wanadai wale covid-19 ndo wabunge wa upinzani...
Shaka ni bongo movie. Namshangaa kupoteza muda Lumumba, angeuza sana movie zake.Halafu Shaka anasema Ccm wanalifuatilia. Na ni bunge lao
Katiba pendekezwa!.Twambie kipindi kina Lisu wamejazana bungeni waliwahi kuzuia nini kisipitishwe?
At least walikuwa wanapiga kelele kuonyesha concern na kupinga lakini likija suala la kupiga kura wanazidiwa kwa kuwa wabunge wengi wanakuwa ni chama cha mboga mboga AKA nzi wa kijani.Twambie kipindi kina Lisu wamejazana bungeni waliwahi kuzuia nini kisipitishwe?
Mzee Mdee na vikongwe wenzake wanalipwa poshoWashindwe na walegee. Mzee Mdee na wenzake ni wabunge wa ccm B.
Bunge limejaa wajinga tupuIla kweli Hawa wabunge mbona kama wapo wapo tu, Kuna shida mahali! ni lazima watanzania tutafute suluhu, hatuwezi kuwa na Bunge la namna hii ambalo bila shaka LINADEMKA kwa hakika.
Bunge ni chombo hafifu, toothless.Kabisa mkuu. Angalia hivi Sasa eti mtu mmoja tu (rais) anatamka kutengua maamuzi ya bunge lililokaa kwa miezi 3 na posho wamelipwa. Sasa kama rais anafuta maamuzi ya bunge, uwakilishi wa wabunge kwa wananchi uko wapi?
Hakuna bunge ni genge la wahuniBunge ni chombo hafifu, toothless.
Huyu maza ni mnafiki balaa, budget inaanzia kwenye baraza la mawaziriKabisa mkuu. Angalia hivi Sasa eti mtu mmoja tu (rais) anatamka kutengua maamuzi ya bunge lililokaa kwa miezi 3 na posho wamelipwa. Sasa kama rais anafuta maamuzi ya bunge, uwakilishi wa wabunge kwa wananchi uko wapi?