SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kilaza kama babu Tale unategemea aseme nini zaidi ya kukenua kenua na kugonga mezaIla kweli Hawa wabunge mbona kama wapo wapo tu, Kuna shida mahali! ni lazima watanzania tutafute suluhu, hatuwezi kuwa na Bunge la namna hii ambalo bila shaka LINADEMKA kwa hakika.
Hili dubwana kama ingewezekana tungelifufua halafu tuliuwe tenaMagufuli alituharibia sana nchi yetu
Tunapaswa kudai katiba mpya kwa nguvu zaidi la sivyo mambo yetu yatakuwa mabaya zaidi.Madhara ya bunge
(a) Kujaa wanaccm,
(b) Kuwa chombo cha kuimba nyimbo za sifa badala ya chombo cha kuisimamia na kuikosoa serikali,
.....yamedhihirika katika sakata la tozo za miamala. Rais anaanza SSH ameanza kupata tabu.
Wakati wa vikao vya bunge kujadili bajeti 2021/2022, wabunge wengi walijikita kutoa sifa kwa rais badala ya kuangalia mijadala iliyopo mezani na kuichambua ipasavyo.
Sasa Rais Samia amelazimika kuagiza tozo hizo ziangaliwe upya wakati kulikuwa na zaidi ya watu 365 waliolipwa posho nene kufanya kazi hiyo.
Ndugai ameboronga, tena amebutua ajitafakari ktk hili kisha ajiuzulu.
.
Watanzania HAMKENI BANAA hakuna mtu kwa kujiuzuru kwa hiari yake. Tuungane BUNGE livunjwe au serikali iwajibike basii.Madhara ya bunge
(a) Kujaa wanaccm,
(b) Kuwa chombo cha kuimba nyimbo za sifa badala ya chombo cha kuisimamia na kuikosoa serikali,
.....yamedhihirika katika sakata la tozo za miamala. Rais anaanza SSH ameanza kupata tabu.
Wakati wa vikao vya bunge kujadili bajeti 2021/2022, wabunge wengi walijikita kutoa sifa kwa rais badala ya kuangalia mijadala iliyopo mezani na kuichambua ipasavyo.
Sasa Rais Samia amelazimika kuagiza tozo hizo ziangaliwe upya wakati kulikuwa na zaidi ya watu 365 waliolipwa posho nene kufanya kazi hiyo.
Ndugai ameboronga, tena amebutua ajitafakari ktk hili kisha ajiuzulu.
.
Na hili ndio linatu-cost, wabunge hawa wa ccm kwanza sio watu wa kusoma makabrasha zaidi ya upigaji kelele za ndiooooooooo.a) Kujaa wanaccm,
(b) Kuwa chombo cha kuimba nyimbo za sifa badala ya chombo cha kuisimamia na kuikosoa serikali,
.....yamedhihirika katika sakata la tozo za miamala. Rais anaanza SSH ameanza kupata tabu.
Ila waliongea na wananchi waliwasikia na bunge lilikuwa na mvuto wakusikiliza hoja kiuchambuzi.Twambie kipindi kina Lisu wamejazana bungeni waliwahi kuzuia nini kisipitishwe?
aibuuuuuuuuuu, sasa mnaanza kujilaumu wenyewe. kumbuka kina lissu hawapo bungeni bwashee, huu msala ni wa sisiemu. madhara ya bunge la chama kimoja yameonekana liveTwambie kipindi kina Lisu wamejazana bungeni waliwahi kuzuia nini kisipitishwe?
Huyo shaka nadhani kichwani kumeyumba.Halafu Shaka anasema CCM wanalifuatilia. Na ni bunge lao
Mwulize Spika Msataafu Anne Makinda atakuambia.Twambie kipindi kina Lisu wamejazana bungeni waliwahi kuzuia nini kisipitishwe?
Kujifariji kawaida ni tiba kwa mgonjwa kwa kuwa wameiridhia tiba hiyo wasinyimwe wapatiwe.Brother Mdee na Covid19 wenzie ni CCM, uanachama wao CHADEMA ulishafutwa kitambo.
Ni lini chama kitaielekeza serikali,kufuata sheria na katiba ya taifa hili?Akiuliza swali la nyoongeza mbuge wa kujitegemea wa wananchi.Huyo shaka nadhani kichwani kumeyumba.
Wabunge wa CCM ni wajumbe wa kamati ya CCM ya Bunge, na kwa sasa hata wakiwa Bungeni wanaendesha vikao vyao kama vikao vya CCM. Sasa hiyo CCM inayofuatilia ni CCM ya wapi?
Ukiwauliza waliupataje huo Ubunge kuna baadhi yao hata hawafahamu jinsi walivyoshindishwa.Haya ni madhara ya nchi kutokuwa na uchaguzi huru na wa haki.