Madhara ya Covid-19:Chuo kikuu kimoja chawapa watumishi wake likizo na kutangaza kuanza kuwalipa nusu mshahara

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.

Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.

Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.

My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.

Time will tell.
 
Bora hao wanaolipwa,kuna wengine wana mwezi mmoja na hawalipwi.
Madhara yameonekana tangu mwezi wa nne,hao wamechelewa sana,watu hata kulipwa hawalipwi,ila fine hao ni chuo kikuu wao ndo wataosemewa kwa sababu ndio binadamu.
 
Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.

Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.

My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.

Time will tell.
Of course Chuo kikuu cha Ruaha kimelazimika kuondoa wafanyakazi wake wote chuoni kwa lazima kwa muda wa mwezi mmoja baada ya wafanyakazi kadhaa kumkwaa mzee wa kazi na mmoja kavuta tayari. Itabidi kwa huu mwezi wale nusu mshahara na wameondoka jana.

Tule Nyungu tule nyunguuu faiza naye kaipa Jina lake sijui nini vile.

Acha nikawahi kula mvuke wa saa tisa.
 
Hapo Rais Magufuli hajatuweka lockdown

Nawaambieni tungewekwa lockdown tungekufa njaa

Kongole kwa Rais Magufuli
Unawaza njaa tu. Unalala stand nn?
Anyway turudi kwenye mada. Suala la lockdown linategemea na nchi. Zipo zenye uwezo wa kulisha raia wake. Zingine hazina uwezo huo.
Walae wenye uwezo wameweza kulisha raia bila tatizo lolote.
Swali hapa. Uganda wamewezaje? Tumewazid hadi uchumi. Laki lockdown yao haina malalamishi. Sisem tuweke lakin tunaweza jifunza jambo kutoka kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.

Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.

Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.

My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.

Time will tell.
Hata jina la chuo unaliogopa?

Hakika ngosha anatisha!
 
Kwanini mnataka sasa lockdown mzee.
Ili hili goma liishe fasta bila kuleta madhara makubwa turudi kama kawaida. Any way tumeshachelewa maana limeenea kila mkoa. Now kila mtu ashike lake. Tulitakiwa kufunga mipaka mapema bila hata lockdown ila kwakuwa Rais wako ni mbishi mbishi na mbabe mbabe haya ndiyo yanayotugharimu sasa! Alitakiwa kufunga mipaka mapema kuzuia janga ila aliupenda utalii zaidi wachina na wengine wakatumia huo mwanya kutuletea janga.
 
Back
Top Bottom