Madhara ya Covid-19:Chuo kikuu kimoja chawapa watumishi wake likizo na kutangaza kuanza kuwalipa nusu mshahara

Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.

Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.

Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.

My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.

Time will tell.
Huu upuuzi wa kujadili madhara ya uchumi kabla ya kuziua maumbikizo ya sasa utasababisha vifo vingi. 1. Watoe idadi ya ukweli, iwe ya vifo, walioambukizwa na waliopona. 2. Waje na mpango wa kuzuia maambukizo 3. Mnaweza kujadili madhara ya uchumi.
 
Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.

Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.

Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.

My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.

Time will tell.
Ruaha catholic
 
Kuna wapuuzi watakuja kuandika upuuzi wakitetea upuuzi wao. Blessed Man
 
Hapo Rais Magufuli hajatuweka lockdown

Nawaambieni tungewekwa lockdown tungekufa njaa

Kongole kwa Rais Magufuli
Hivi huwa unasoma vizuri na kuelewa mtiririko wa mawazo??, Naona kama huwa unakurupuka kijinga kuandika tu!!, Kama hajaweka lock down imesaidia Nini?? Mbona haya yanatokea?, Mantiki ya mleta mada alitaka kuonesha ukaidi wa Bunge la ndugai kutokujadili madharaa yatakayosababishwa na covid19 kiuchumi. Hawa wafanyakazi was taasisi binafsi walipaswa kuanza kulipwa na serikali ikiwa shule,vyuo binafsi ni mdau wa maendeleo wao.

Acha kuwa mjinga Kila wakati
 
IMG-20200501-WA0002.jpg
 
Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.

Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.

Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.

My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.

Time will tell.
Bila kutaja jina la chuo hicho huu ni umbea
 
Wewe mapendekezo yako ni yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.

Makato ya mikopo inatakiwa isiitishwe sio tu kwa wafanyakazi sekta binafsi...

Makato yasiitishwe kwa mikopo yote, iwe wafanyabiashara au taasisi na kwa wafanyakazi wote.
 
Hata chuo Cha taifa nao wameanza kulipwa nusu salary hii corona imezua balaa kubwa aiseee, I wish iishe upesi turudi normal

Sent using Jamii Forums mobile app

Sheria ya Kazi inasemaje?.. Mkataba wa kazi je?... Je Ni halali kumpa mfanyakazi likizo isiyo na malipo gafla kipindi Cha matatizo Kama haya.
 
Very true aisee maana biashara zimekubwa ngumu bado watu wanadaiwa Makato,plus Kodi za nyumba bunge lingetakiwa lijadili haya Mambo ili kuwe na win win situation
Makato ya mikopo inatakiwa isiitishwe sio tu kwa wafanyakazi sekta binafsi...

Makato yasiitishwe kwa mikopo yote, iwe wafanyabiashara au taasisi na kwa wafanyakazi wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tu kwa Sasa hawalipwi sehemu nyingi na wamepewa likizo bila malipo, nadhani mheshimiwa aje na hotuba ya matumaini na kutoa muelekeo Hali mbaya kweli kweli

Back
Top Bottom