Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Of course Chuo kikuu cha Ruaha kimelazimika kuondoa wafanyakazi wake wote chuoni kwa lazima kwa muda wa mwezi mmoja baada ya wafanyakazi kadhaa kumkwaa mzee wa kazi na mmoja kavuta tayari. Itabidi kwa huu mwezi wale nusu mshahara na wameondoka jana.Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.
Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.
Time will tell.
Hivi hii ngoma ikenda hadi September maisha yatakuwa vipi?
Unawaza njaa tu. Unalala stand nn?Hapo Rais Magufuli hajatuweka lockdown
Nawaambieni tungewekwa lockdown tungekufa njaa
Kongole kwa Rais Magufuli
Kivipi? Kwani hicho chuo kimefaidika vipi kwa kutokuwepo kwa "Lock down"?Hapo Rais Magufuli hajatuweka lockdown
Nawaambieni tungewekwa lockdown tungekufa njaa
Kongole kwa Rais Magufuli
Kwa vyuo binafsi kufungwa ni sawa na Lockdown.Hapo Rais Magufuli hajatuweka lockdown
Nawaambieni tungewekwa lockdown tungekufa njaa
Kongole kwa Rais Magufuli
Hata jina la chuo unaliogopa?Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.
Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.
My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.
Time will tell.
Ili hili goma liishe fasta bila kuleta madhara makubwa turudi kama kawaida. Any way tumeshachelewa maana limeenea kila mkoa. Now kila mtu ashike lake. Tulitakiwa kufunga mipaka mapema bila hata lockdown ila kwakuwa Rais wako ni mbishi mbishi na mbabe mbabe haya ndiyo yanayotugharimu sasa! Alitakiwa kufunga mipaka mapema kuzuia janga ila aliupenda utalii zaidi wachina na wengine wakatumia huo mwanya kutuletea janga.Kwanini mnataka sasa lockdown mzee.
Vifo sawa, ila uchumi wa watu utakuwa vipiOngezeko la vifo tu...