Madhara ya COVID-19, Kwenye Media, NMG ya Kenya Kupunguza Waandishi 100!. Ukiona Mwenzako Ananyolewa..

Ha ha ha waandishi wanajionaga watu special sana. Wengi walienda kusomea uandishi baada ya kufeli masomo ya sayansi na biashara.

Mi huwa nawazoom tu wanavyojimwambafai!
Mkuu ina maana huoni mchango wa vyombo vya habari kwenye kusukuma mbele gurudumu la maendeleo?
 
Wanabodi,

Tangu kuingia kwa Janga la Corona, mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimekuwa nikipiga kelele kuwa media needs to be rescued ili ziweze ku survive, kilio hiki 0has been falling on deaf ears!. Ukiona mwenzako ananyolewa....

Kibano cha madhara ya Covid 19, yameanza kuitafuna media ya jirani zetu Kenya.

Jisomee mwenyewe
NMG Kicks Out Senior Editors and Managers as it Shifts Gears

Kufuatia madhara ya Covid 19, on media, NMG kupunguza waandishi 100 Wakiwemo Editors 40!. This is a " Wake Up Call" Kwa familia ya magazeti ya Citizen/Mwananchi!. Ukiona Mwenzako Ananyolewa!.

Haya madhara ya COVID-19, hayataishia kwenye magazeti ya Citizen na Mwananchi tuu yatavikumba na vyombo vingine vyote vikubwa vya habari nchini ukiondoa vyombo vya habari vya umma ambavyo vinakuwa spoon fed, na kuwa bailed out na serikali, lakini vyombo vingine vyote vya habari, visipo saidiwa kwa kuwa bailed out, vita suffer the consequences.

Paskali
[afsi naona kama uandishi wa habari una room kubwa sana ya kujiajiri hasa kwa nchi zinazoendelea japo ajira yake si kama kuuza mandazi, unaamua kuanza leo na leo unatengeneza pesa ya kula
Wanabodi,

Tangu kuingia kwa Janga la Corona, mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimekuwa nikipiga kelele kuwa media needs to be rescued ili ziweze ku survive, kilio hiki 0has been falling on deaf ears!. Ukiona mwenzako ananyolewa....

Kibano cha madhara ya Covid 19, yameanza kuitafuna media ya jirani zetu Kenya.

Jisomee mwenyewe
NMG Kicks Out Senior Editors and Managers as it Shifts Gears

Kufuatia madhara ya Covid 19, on media, NMG kupunguza waandishi 100 Wakiwemo Editors 40!. This is a " Wake Up Call" Kwa familia ya magazeti ya Citizen/Mwananchi!. Ukiona Mwenzako Ananyolewa!.

Haya madhara ya COVID-19, hayataishia kwenye magazeti ya Citizen na Mwananchi tuu yatavikumba na vyombo vingine vyote vikubwa vya habari nchini ukiondoa vyombo vya habari vya umma ambavyo vinakuwa spoon fed, na kuwa bailed out na serikali, lakini vyombo vingine vyote vya habari, visipo saidiwa kwa kuwa bailed out, vita suffer the consequences.

Paskali

Binafsi naona kama uandishi wa habari una room kubwa sana ya kujiajiri hasa kwa nchi zinazoendelea japo ajira yake si kama kuuza mandazi, unaamua kuanza leo na leo unatengeneza pesa ya kula. Ni wakati muafaka wa vyuo, wabobezi kama nyie kuja na semina za kusaidia waandishi wajiajiri
 
Wanabodi,

Tangu kuingia kwa Janga la Corona, mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimekuwa nikipiga kelele kuwa media needs to be rescued ili ziweze ku survive, kilio hiki 0has been falling on deaf ears!. Ukiona mwenzako ananyolewa....

Kibano cha madhara ya Covid 19, yameanza kuitafuna media ya jirani zetu Kenya.

Jisomee mwenyewe
NMG Kicks Out Senior Editors and Managers as it Shifts Gears

Kufuatia madhara ya Covid 19, on media, NMG kupunguza waandishi 100 Wakiwemo Editors 40!. This is a " Wake Up Call" Kwa familia ya magazeti ya Citizen/Mwananchi!. Ukiona Mwenzako Ananyolewa!.

Haya madhara ya COVID-19, hayataishia kwenye magazeti ya Citizen na Mwananchi tuu yatavikumba na vyombo vingine vyote vikubwa vya habari nchini ukiondoa vyombo vya habari vya umma ambavyo vinakuwa spoon fed, na kuwa bailed out na serikali, lakini vyombo vingine vyote vya habari, visipo saidiwa kwa kuwa bailed out, vita suffer the consequences.

Paskali
Mkuu mbona covid 19 bongo haijasumbua? Tuko vizuri usitutishe
 
Hawawezi kusaidia kama wanasema Corona haipo. Tumekosa pesa nyingi za mashirika ambazo ndizo zingeenda kusaidia sehemu nyingine.
 
Ha ha ha waandishi wanajionaga watu special sana. Wengi walienda kusomea uandishi baada ya kufeli masomo ya sayansi na biashara.

Mi huwa nawazoom tu wanavyojimwambafai!
Wanachoniuzi wao ndio wala rushwa hatari ila hawaandikani subiri sasa polisi ale rushwa wataripoti hadi mkome, hawa waandishi wakiudhuria baadhi ya matukio hawaripoti hadi upitishe bahasha
 
Wanabodi,

Tangu kuingia kwa Janga la Corona, mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimekuwa nikipiga kelele kuwa media needs to be rescued ili ziweze ku survive, kilio hiki 0has been falling on deaf ears!. Ukiona mwenzako ananyolewa....

Kibano cha madhara ya Covid 19, yameanza kuitafuna media ya jirani zetu Kenya.

Jisomee mwenyewe
NMG Kicks Out Senior Editors and Managers as it Shifts Gears

Kufuatia madhara ya Covid 19, on media, NMG kupunguza waandishi 100 Wakiwemo Editors 40!. This is a " Wake Up Call" Kwa familia ya magazeti ya Citizen/Mwananchi!. Ukiona Mwenzako Ananyolewa!.

Haya madhara ya COVID-19, hayataishia kwenye magazeti ya Citizen na Mwananchi tuu yatavikumba na vyombo vingine vyote vikubwa vya habari nchini ukiondoa vyombo vya habari vya umma ambavyo vinakuwa spoon fed, na kuwa bailed out na serikali, lakini vyombo vingine vyote vya habari, visipo saidiwa kwa kuwa bailed out, vita suffer the consequences.

Paskali

Nje ya mada, nakupongeza sana leo asubuhi umembana mkurugenzi WA TBC Ayoub Rioba, kuhusu matumizi yasiyoridhisha ya TV ya umma.
 
Tatizo ni beyond covid
Binafsi sinunui magazeti kabisa
Sababu habari zote nazipta online

Media za Tz zina shida moja kubwa
Kudharau online side of their businesses
Sidhani kama wanadharau huko, tatizo lao wanaogopa kuweka news zao huko wanahisi watapata hasara, ni gazeti moja tu ndio huwa nalisoma online kwa kulipia kwa chapisho either, siku, mwezi, au mwaka, magazeti mengine yote kimya.
 
Nje ya mada, nakupongeza sana leo asubuhi umembana mkurugenzi WA TBC Ayoub Rioba, kuhusu matumizi yasiyoridhisha ya TV ya umma.
Asante, the truth kuhusu TBC ni public broadcasting station, na sio government media, hivyo inawajibika kwa umma na sio kwa serikali, japo serikali ina wajibu to fund TBC 100%.
P
 
Back
Top Bottom