kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Hapa pana ukweli mkuu,nawafahamu vijana wawili wakifanya kazi ktk lorry za kuzoa taka hapa K/koo na mitaa yake,mwanzo walikuwa vizuri tu ila kadiri miaka ilivyokuwa inasogea wakaanza kufanya vitu vya ajabu...nadhan kazi ni kazi ila kazi kama hii inatakiwa isiwe permanently iwe ni ya kuzugia tu kwa afya ya mfanyaji!Hyo kazi huwa ni nzur lakn harufu mbaya huwa inadumaza akili,fanya utafiti kwenye hilo
Akili huwa inadumaa kwa kuwa Mara nyingi inakosa oxygen ya kutosha,cuz ili akili ifanye kazi vzr inahtaji pure oxygen ya kutosha!
Hapa pana ukweli mkuu,nawafahamu vijana wawili wakifanya kazi ktk lorry za kuzoa taka hapa K/koo na mitaa yake,mwanzo walikuwa vizuri tu ila kadiri miaka ilivyokuwa inasogea wakaanza kufanya vitu vya ajabu...nadhan kazi ni kazi ila kazi kama hii inatakiwa isiwe permanently iwe ni ya kuzugia tu huku ikitafutwa nyingine kwa ajili ya afya ya mfanyaji!
Kumbeeee...ndo mana wale Wa uswazi wengi akili zao hazina akiliHyo kazi huwa ni nzur lakn harufu mbaya huwa inadumaza akili,fanya utafiti kwenye hilo
Akili huwa inadumaa kwa kuwa Mara nyingi inakosa oxygen ya kutosha,cuz ili akili ifanye kazi vzr inahtaji pure oxygen ya kutosha!
Umeandika ili upate likes au?Madhara mengine unaeza jikuta unapendelea mtandao pendwa 0713
Nshakupa like mkuuUmeandika ili upate likes au?
Daah mwanangu umeuaMadhara ni pua kukomaa mkuu chunga sana