kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Wakuu,
Baada ya hustle za muda mrefu nmepata kaz kwenye kampuni ya usafi. Kaz yangu ni utingo kwenye gari la maji-taka Tabora mjini.
Kaz sio mbaya kimaslah ya fedha lkn nafanya kaz kwenye mazingira ya harufu kali mno. Juzi tulikua na kazi kwenye nyumba ya waarabu flan huku Kanyenye, daaah ile harufu ilinizidia ikabidi niruhusiwe nikalale chini ya mti nipigwe upepo maana nguvu ziliniishia nikaanguka na mpira wa kunyonyea.
Mazingira ya kaz ni salama kwakua tunazo protective gears ili kutuepusha na contamination za sewage. Tatizo ni harufu, haizuiliki aise.
Je naweza kupata madhara gan kwa kunusa harufu mbaya?
Kilambimkwidu