Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Nifafanulie kidogo, maji tumboni yanaondoaje harufu ilojaa kwenye mapafu sjui...Kiongozi, nimependa sana intro yako. Inaonekana wewe ni mkweli sana. Wachache sana hapa JF wanaweza kuandika kazi wanayoifanya, inayorandana na ya kwako.
Harufu kama harufu haina shida. Mungu aliumba harufu mbaya ili binadamu ajue hicho sio kitu kizuri na kina madhara.
Tatizo la harufu linakuja kama hiyo harufu imeambatana na gesi. Gesi nyingi zinaweza kusababisha kutokupumua vizuri au kunyima baadhi ya viungo vyako oxygen.
Mkuu, upo serious kwel ??? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madhara mengine unaeza jikuta unapendelea mtandao pendwa 0713
Thanks, ntajaribu hyoUkirudi nyumbani fanya aroma therapy,fukiza/washa udi,ubani au chochote chenye kuleta harufu nzuri.
Nadhani umechanganya posts kaka. Sikuzungumzia kuhusu maji tumboni.Asante. Nifafanulie kidogo, maji tumboni yanaondoaje harufu ilojaa kwenye mapafu sjui...
Ninayo point ila haijaeleweka na nashindwa kuieleza, usijal lkn. Ushauri wako ntaufanyia kaziNadhani umechanganya posts kaka. Sikuzungumzia kuhusu maji tumboni.
Hawajiamini hao, mbona kawaida tu!!Hapa pana ukweli mkuu,nawafahamu vijana wawili wakifanya kazi ktk lorry za kuzoa taka hapa K/koo na mitaa yake,mwanzo walikuwa vizuri tu ila kadiri miaka ilivyokuwa inasogea wakaanza kufanya vitu vya ajabu...nadhan kazi ni kazi ila kazi kama hii inatakiwa isiwe permanently iwe ni ya kuzugia tu kwa afya ya mfanyaji!