MADHARA YA HARUFU MBAYA

MADHARA YA HARUFU MBAYA

Kiongozi, nimependa sana intro yako. Inaonekana wewe ni mkweli sana. Wachache sana hapa JF wanaweza kuandika kazi wanayoifanya, inayorandana na ya kwako.

Harufu kama harufu haina shida. Mungu aliumba harufu mbaya ili binadamu ajue hicho sio kitu kizuri na kina madhara.

Tatizo la harufu linakuja kama hiyo harufu imeambatana na gesi. Gesi nyingi zinaweza kusababisha kutokupumua vizuri au kunyima baadhi ya viungo vyako oxygen.
Asante. Nifafanulie kidogo, maji tumboni yanaondoaje harufu ilojaa kwenye mapafu sjui...
 
Hapa pana ukweli mkuu,nawafahamu vijana wawili wakifanya kazi ktk lorry za kuzoa taka hapa K/koo na mitaa yake,mwanzo walikuwa vizuri tu ila kadiri miaka ilivyokuwa inasogea wakaanza kufanya vitu vya ajabu...nadhan kazi ni kazi ila kazi kama hii inatakiwa isiwe permanently iwe ni ya kuzugia tu kwa afya ya mfanyaji!
Hawajiamini hao, mbona kawaida tu!!
 
Back
Top Bottom