Madhara ya katuni kwa watoto

Madhara ya katuni kwa watoto

Shida sisi hatujafanikiwa kutengeneza content zetu wenyewe zenye kuvutia
Ukiacha zile katuni za kufundisha watoto herufi mbali mbali na jinsi ya kuzitamka nini hasa faida nyingine ya katuni? Naona zinachangia Sana watoto kutokupata muda wa kucheza na kujifunza vitu in real life... Mtoto anakaa kwenye TV up to 4-5 hrs badala ya kwenda kucheza rede, mdako, kuruka kamba, kurusha tiara, kuchora chora, kwenda madrasa/kanisani etc...
 
Kila kitu kikizidi kiasi kina madhara. Ndiyo maisha ya sasa watoto hawajumuiki na kujichanganya
 
Shida sisi hatujafanikiwa kutengeneza content zetu wenyewe zenye kuvutia
Unakuta muundaji wa katuni kutoka Afrika ameunda katuni ya mtoto kavaa chupi alafu chafu anacheza barabarani na hajachana nywele au mtoto kalala anang'atwa na mbu na kutoka jipu (ooh sorry kipele)

Mbele ya hiyo katuni mtoto kalala jini linatokea kwenye ndoto linamtisha mtoto 😂
 
Kweli kabisa nyingi ziko hivi nmeona kadhaa ziko hivi hivi
 
Nje ya hizo ulizotaja moja kubwa ni Cartoons zinalemaza ubongo wa mtoto....

Mda ambao mtoto ataangalia cartoon mnunulue michezo ya watoto haizidi hata 15 .....apambane nayo itamuongezea concetration
 
download (4).jpeg
 
Acha uongo. Watoto hawajui mambo ya mzungu na mweusi. Huo ujinga huwa mnamjaza akianza shule. Zilaumu shule na sio katuni.
Huu ni utafiti ulifanyika. Kama unaogopa ukweli hilo ni juu yako.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nje ya hizo ulizotaja moja kubwa ni Cartoons zinalemaza ubongo wa mtoto....

Mda ambao mtoto ataangalia cartoon mnunulue michezo ya watoto haizidi hata 15 .....apambane nayo itamuongezea concetration
Ndiyo maana hata wanafika la saba hawajui kusoma ila katuni zote wanazijui. Wanaongea na kikorea😀😀
 
Mimi m Bibi kabisa lakini hata Kama napika nikisikia Thomas and his friends nazima jiko nakwenda kumuangalia ikiisha narudi kupika na wala sihisi chochote, pia zipo katuni ambazo zinaelimisha sana watoto
 
Kwa sisi Waafrika, katuni na movies zina madhara makubwa sana kwa watoto. Kwenye movies na katuni asilimia kubwa ya heroes ni wazungu. Hili suala huwa linamjenga mtoto kisaikolojia kwamba wenye uwezo, wenye maadili, wazuri na wenye sifa zingine nzuri ni wazungu.

Hili linamfanya asijithamini kama mtu mweusi. Utafiti ulionyesha kuwa mtu pekee ambaye anaongeza kujithamini baada ya kuangalia movie na katuni ni mtoto wa kizungu, hasa mvulana wa kizungu. I thought you should know.
Mtoto hajui tofauti kati ya Mzungu na Mweusi
 
Baada ya kugundua hilo, sasa inabidi Watu weusi tutengeneze katuni za Watu weusi, na hero awe mweusi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mtu mweusi ame-add value gani hapa Duniani ambayo ni significant hadi mtoto mdogo ajithamini kama mtu mweusi?

Hao watoto wasipojithamini kama watu weusi ni sahihi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772]
 
Siyo kweli. Kutojiamini kwa mtoto kinachangiwa kwa kiasi kikubwa na namna mtoto anavyotendewa ndani ya familia au jamii - mfano kama anaambiwa maneno makali makali kila siku: lione, hivi hili likoje? Yaani litoto hili! Hili litoto heri lisingezaliwa...! Maneno na matendo yanayomfanya mtoto ajione kila mara ni mbaya au amekosea ndiyo yanayomfanya awe na low-self image au low opinion of himself or herself. Mfano, watoto wangu wanaangalia educative cartoons kila siku na somehow wamejenga kujiamini kwenye kuongea lugha nk.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa.
 
Ndiyo maana hata wanafika la saba hawajui kusoma ila katuni zote wanazijui. Wanaongea na kikorea😀😀
Tatizo la hicho kikorea ni cha kikatuni, yaani hakina msaada kwa maisha yake.
 
Kwa sisi Waafrika, katuni na movies zina madhara makubwa sana kwa watoto. Kwenye movies na katuni asilimia kubwa ya heroes ni wazungu. Hili suala huwa linamjenga mtoto kisaikolojia kwamba wenye uwezo, wenye maadili, wazuri na wenye sifa zingine nzuri ni wazungu.

Hili linamfanya asijithamini kama mtu mweusi. Utafiti ulionyesha kuwa mtu pekee ambaye anaongeza kujithamini baada ya kuangalia movie na katuni ni mtoto wa kizungu, hasa mvulana wa kizungu. I thought you should know.

Kuna chalii yangu hapa anaangalia Na anajiamin hatari, sasa wewe fikiri kila kitu Ni kupambana Na mzungu;
 
Back
Top Bottom