Mimi napenda kuongea pasipo mtaja awaye yeyote ila kuweka kumbukumbu vizuri.
Awali ya yote namshukuru Mungu nipo hai na kuwa na bahati kuona tawala zote tano. Ndugu zangu Watanzania nikiwa kama Raia wa taifa hili aka mzawa napenda kuwaambia tuzidi kusali tena tusali sana lipo jambo hatulioni wala hatulitarajii laweza ikumba Tz hasa kipindi hiki kigumu tunapita. Naungana na serikali nawatanzania kuzidi kumuomba Mungu atuhurumie nakutukwamua kwenye halii hii ambayo inaendelea inayo taka kuharibu hali ya hewa ktk taifa tukufu Tz.
Ndugu Watanzania mimi napenda niwakumbushe yakuwa ktk Taifa lolote lile lenye nguvu basi umoja na mshikamano ndio nguvu yao. Ili umoja na mshikamano viwepo ktk taifa basi ni shurti kwa kiongoz mkuu wakitaifa kufanya kazi umoja na wale top advicer ili kuenga umoja wa taifa. Ikitokea kiongoz mkuu kitaifa ana pingana au anawapinga wale wanamsaidia huleta hali ya tafarani kati ya wananchi na viongoz na viongoz pamoja na wataalam jambo nihatari hata kwa usalama wa nchi husika.
Kiongoz wa Taifa lolote duniani hafanyi kazi zote na akifanya kaz zote mara nyingi sana mwisho wake huwa mgumu why? Kama mshauri alisema usipite huku wewe ukasema wewe pita basi tambuwa lolote likitokea unajiwajibisha mwenyewe.
Pia hata kama unahisi unadanganywa nibora mgombane ndani warekebishe kuliko kusema adharan ukatweza kaz ya watu wako kiukweli unawavunja moyo nakuwafanya wakose nguvu yakuendelea na hapo ndipo mambo uharibika.
Taifa lolote duniani haliishi kama taifa liko peke yake dunian. Kuna wakati unapaswa kuwa mjinga na kuishi kama wenzako ili wasikutenge pekeyako. Mifano mizuri ni Korea kusin na Iran wametengwa miaka sasa na wanao teseka ni Rai wake zaid.
Kauli ya Kiongoz mkuu wakitaifa isipo tolewa kwa taadhari uzusha mlipuko mkubwa sana ambao unaweza sumbuwa utawala hasa watu wabaya wakitumia kauli hiyo vibaya.