Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Mrembo hadi kuandika hapa...ni ishara umesikia sema utaki kuelewa tu.
Kusema tumemsikia maana yake tunafuata alichosema.
Binafsi sina hata dalili ya kuacha.
Kwanza nilikuwa sijui zinapatikana wapi , asante kwa VidMate wametusogezea karibu.
 

Attachments

  • IMG_20200612_161728_662.JPG
    IMG_20200612_161728_662.JPG
    33.8 KB · Views: 7
Wengi wamekua addicted km madawa ya kulevya labda Bashite aingilie kati
 
Kusema tumemsikia maana yake tunafuata alichosema.
Binafsi sina hata dalili ya kuacha.
Kwanza nilikuwa sijui zinapatikana wapi , asante kwa VidMate wametusogezea karibu.
Kusikia, kuelewa na kufanyia kazi kile ulichoelewa ni vitu tofauti kabisa...ila naamini unakaribia kukoma kuangalia japo siamini kama unafanya hayo.

Kuna baadhi ya mambo tunapenda kuyafanya kwakuwa misukumo ya miili yetu imetushinda ku-control na upweke unachangia.
 
Tatizo liko wapi? Wewe baada ya kumuangalia Cherokee umemtosa kimbaumbau wako?
Mkuu mwanamke akiangalia imagination hubaki bt mwanaume akiangalia hujifunza mbinu za kuimarisha mchezo
 
mkuu mwanamke akiangalia imagination hubaki bt mwanaume akiangalia hujifunza mbinu za kuimarisha mchezo
Ushawahi kuwa mwanamke kwani,, hadi useme imagination hubaki vichwani mwetu!!!

Acha kujitungia uongo mkuu, kila mtu anazo sababu zake zinazopelekea kuangalia porn,, Kama Ni madhara yapo kwa jinsia zote,, ishu iko kisaikolojia sio kijinsia,, tusipotoshane
 
Back
Top Bottom