Salaam kwenu wana jamvi
Hivi karibuni nimeingia kwenye mahusiano na demu fulani wa kitaa
Huyu binti ni single mother na umri wake ni 22 years na anaishi kwao na wazazi wake. Jana wakati tunachat akaniambia baby Leo Nina hamu sana ya kufanya mapenzi nikamwambia poa but nipo mbali sana na mazingira ya town vumilia vumilia kesho (Leo) tutafanya.
Basi tumeendelea kuchat, ghafla akawa kimya, mimi nikaendelea na mishe zangu, mida ya jioni jioni kanitext "baby nilipitiwa na usingizi maana nilikuwa naangalia muvi ya X" nikamuuliza why akasema amezoea tu kuangalia tangu zamani, sasa story zikaanzia hapo.
Akaniambia "ujue baby nilikuwa kwenye mahusiano sikudumu kwa sababu nikikutana na mwanaume nikaona uume wake mi hamu inaisha, na jamaa alikuwa akinitia kimoja sitaki tena ,basi tukaachana"
Nikamuuliza kwa nini akaniambia alienda hospital kuelezea tatizo lake akaambiwa aache mawazo na kuangalia video za ngono maana zimeshamuathiri,akiacha na kupunguza mawazo na kumpata mtu atakaempenda basi atarudi katika hali ya kawaida
Na anadai hadi sasa hajui kama tukifanya atajiskia au itakua kunuridhisha Mimi tu. Nikamuuliza unajichua akasema hapana ila kuna wakati akiwa anaangalia hizo video huwa anajichezea **** ila haisi chochote.
Sasa wakuu huyu manzi tiba yake hasa ni ipi manake mi bado sijamtia tumeanza mahusiano kama wiki 2 zimepita. Mwenye kujua msaada wa matibabu either madawa au saikolojia basi aniambie nimsaidie huyu binti.