Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Hata mi nimewaza hivi hivi anatakuwa anaandaa mazingira flani huyu demu
 
Wiki mbili zote hujamgegeda??[emoji41][emoji41]
 

Rafiki wa damu ndo yupi huyo, acha ujinga peleka moto.
 
Ajabu picha inayosindikiza sredi ni ya Mwanamme ambae anaangalia filamu/picha ya ngono badala ya Mwanamke ambae ndiye muhusika mkuu
 
wanawake mnaongoza kuangalia porno

mnafaidika na nini huko
 
Kwa kweli kuna shetani kule anakuvuta ukiangalia moja utataka na ya pili..mimi nimejaribu kuacha kuangalia, saa nyingine naweza kukaa hata wiki mbili baadae narudi tu dhambini 🤣 🤣 🤣
Porne ina addiction moja mbaya sana. So ajabu unaisindikiza na selfie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…