Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #41
Kuwa mpole baada ya miezi mitatu mobile operators watachapisha financials.. tutathibitisha kila kitu..T moja itafikiwa vizuri tuu,impacts ya kukwepa sio kubwa,wiki hii yote Niko nafanya miamala na nikienda kwenye vibanda watu wamejaa sema hisia zako tuu.
Ni hivi ni rahisi kukwepa hii kodi kama uko ndani ya eneo unaloweza tumia njia mbadala kukwepa gharama lakini ukiwa mbali no way out lazima utumie na njia rahisi ni mitandao ya simu kuliko mabenki na bahati mbaya au nzuri WaTzn wengi hawana utamaduni wa kutumia mabenki,wanadhani mabenki ni kwa wenye nazo.
Sitaki kubishana na wewe kwa sasa..