Madhara ya kufeli kwa bajeti ya Mwigulu tutayaona kwenye deni la Taifa

Kuwa mpole baada ya miezi mitatu mobile operators watachapisha financials.. tutathibitisha kila kitu..

Sitaki kubishana na wewe kwa sasa..
 
Kwa mimi nahisi kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia( either kwa waziri au kwa mama).
 
Bado kidogo mkuu naamini kitasaidia wengi, Mungu akinijalia kitatoka mwezi wa 9 pia kuna uchambuzi kwanini biashasha zina kufa ama kufeli kwenye nchi zinazoendelea nanini kifanyike kwakutumia IPYANA analysis,by Ipyana Benny Haraba 'the analysis will help detect, internal and external critical determinants of uncertainty in business '
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…