Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

Barikiel

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
403
Reaction score
405
Ifike mahali abiria wanapo ona Dereva anaendesha gari mwendo ambao sio mzuri wajisimamie na waache kuja kusema mwendo ilikua mkali.

IMG-20230118-WA0029.jpg
 
Ukisema "Dereva mwendo mkali, punguza mwendo." Dereva anaanza kutembea spidi mbili. Abiria wote wanakushukia na kuanza kukusimanga, huku wakimbembeleza dereva achochee mwendo na kuachana na "Huyu fala". Safari yote inaharibika. Nani wa kumfunga paka kengele?
 
Barabara nyembamba sana halafu Dereva wa basi la njano alitaka kulazimisha kuovateki tena hapa kwa hapa.

Basi la mbele jeupe kama kamtegea ile kutanua kulia, basi la njano kaingia mzima kwenye Lori.

Huyo aliekuwa anachukua Video na Video Camera pembeni ya Dereva sidhani kama amepona
 
Back
Top Bottom