Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

Nakuunga mkono mkuu,, kuna kipindi nimepanda gari la kampuni X ambalo ni maarufu sana,, kutoka mkoa X kwenda Dsm. Bana eeeh, dere alikuwa akiichapa kofi ile chuma. Cha ajabu ikapigwa mkono sehemu, traffic kaingia ndani akauliza vipi mwendokasi wa dereva, watu wanajibu upo sawa ilhali wakati kanyoosha goti kulikuwa na minong'ono
Wewe ulijibu nini au ulikuwa kama wenzio?
 
Ukisema "Dereva mwendo mkali, punguza mwendo." Dereva anaanza kutembea spidi mbili. Abiria wote wanakushukia na kuanza kukusimanga, huku wakimbembeleza dereva achochee mwendo na kuachana na "Huyu fala". Safari yote inaharibika. Nani wa kumfunga paka kengele?
Ilinitokea kwenye new force, Dereva aliendesha gari kama tupo harusini
 
Barabara nyembamba sana halafu Dereva wa basi la njano alitaka kulazimisha kuovateki tena hapa kwa hapa.

Basi la mbele jeupe kama kamtegea ile kutanua kulia, basi la njano kaingia mzima kwenye Lori.

Huyo aliekuwa anachukua Video na Video Camera pembeni ya Dereva sidhani kama amepona
Alikufa pale pale! Kuna video inamuonesha kaumizwa vibaya kabla hajatolewa hapo.
 
Back
Top Bottom