Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

Ukisikiliza hiyo lugha utagundua Ni Zambia au ZIMBABWE
Screenshot_20230119-002735_Firefox.jpg
 
Kama kuna watu wa hovyo ni abiria katika mabasi. Takataka tupu, hayawezi kumkemea dereva kwa umoja wao kuwa unahatarisha maisha yetu. Hasa njia ya Tanga, abiria hovyo kabisa kabisa! (Ukisema makabila mengine siyo, watasema unaleta ukabila, lakini ndiyo hulka yao WOGA)
 
Makabila ya mkoa wa Mara wanapenda mwendo mkali, hasa wakurya. Mfano, pale tarime kuna gari ndogo nyingi za kwenda nyamongo, ukipanda hizo chuma ndio utaelewa. Kwanza zinajaza, mbele kwa dereva panajaza, dereva anakuwa kashikwa na mlango tu. Ukifunguka bahati mbaya ni kifo. Gari zinajaza watu hadi kwenye but.
Gari zenyewe ni probox na succeed.
 
Kweil ngoja niweke mfano wa tarime hapo hii siyo probox
 
Tatizo la sisi Watanzania tunataka kila kitu Serikali itufanyie mvuta bange mmoja(mpiga debe) anatujaza kama vitunguu kwenye basi tunanyamaza kimyaaa

Tunatembea baada ya km10 tunakutana na trafki wanachokiongea wala atukijui na sisi tupo kimyaaa tunaruhusiwa tunaanza kulaumu Askari kwanini ameruhusu hili gali liendelee na safari wakati limejaa huu si upumbavu na ujuhaa mkubwa
 
Mtu wa kushoto kwenye hiyo bus ya njano (ZhongTong) alikuwa ni mzembe.
 
Watz tu maf***la sana, huo ndo ukweli.

Panda gari halafu traffic asimamishe gari, sikiliza vizuri maneno ya abiria humo ndani..
Nakuunga mkono mkuu,, kuna kipindi nimepanda gari la kampuni X ambalo ni maarufu sana,, kutoka mkoa X kwenda Dsm. Bana eeeh, dere alikuwa akiichapa kofi ile chuma. Cha ajabu ikapigwa mkono sehemu, traffic kaingia ndani akauliza vipi mwendokasi wa dereva, watu wanajibu upo sawa ilhali wakati kanyoosha goti kulikuwa na minong'ono
 
Acha kabisa. Kuna wengine wakati traffic anakuja utawasikia, 'wana njaa hawa!'. Cha ajabu hao wanaoongea hivyo wengine wanasafiri na ndala na wengine wananuka shombo la samaki huku unawaona kabisa wamegandwa na magamba ya samaki kiashiria kwamba wanatoka kwenye tenda ya upaaji wa samaki.
Hatusanifiki sisi.....ndo wa hivihivi basi.
 
Back
Top Bottom