Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

Ukisema "Dereva mwendo mkali, punguza mwendo." Dereva anaanza kutembea spidi mbili. Abiria wote wanakushukia na kuanza kukusimanga, huku wakimbembeleza dereva achochee mwendo na kuachana na "Huyu fala". Safari yote inaharibika. Nani wa kumfunga paka kengele?
 
Barabara nyembamba sana halafu Dereva wa basi la njano alitaka kulazimisha kuovateki tena hapa kwa hapa.

Basi la mbele jeupe kama kamtegea ile kutanua kulia, basi la njano kaingia mzima kwenye Lori.

Huyo aliekuwa anachukua Video na Video Camera pembeni ya Dereva sidhani kama amepona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…