Hii mada imekaa ki alkaida zaidi wakuu kama si ki alshabab!!!!!!
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako
Huo ni uongo mtakatifu.nimeshajaribu mara kadhaa na haijatokea kitu kama hicho na nahisi wewe mwenyewe hujawahi kujaribu ila unaleta stori za kwenye vijiwe vya kahawa bila kufanya utafiti!ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako
Kiti moto kwa afya, kiti moto ni yenyewe karibuni kwa mzee Robert Mburahati ya kuchoma.
Nimesema vitabu vyetu Kwakua Vyote Bible (wakiaminicho wakristo) na Quraan (wakiaminicho Waislam) vime kemea ulaji wa Nguruwe. Ila chaajabu Waislam hatumli (tunaamini kitabu chetu) na wakristo wanamla (wana pingana na kitabu chao) Hapo utaona kua Uislamu ni dini inayo fuata maamrisho na kuacha kila kilicho kemewa ktk kitabu. Lakini ni tofauti na wakristo wanao pinga kile kilicho kemewa ktk kitabu chao.Usiseme viyabu vyetu sema kitabu chetu.....Yaanbi mijitu mnapenda kuunganisha quran na bible pamoja wkt ni vitabu tofauti na mafundisho tofauti kabisaaaa.... kimoja kinafundisha upendo kingine kinafundisha kuua
Kitimoto hafai kuliwa wala kufugwa ila tu kama utaamua kupingana na andiko lililopo ndani ya kitabu chako kitakatifu.Nakutaka radhi mkuu. Pamoja sana.
İla shwain tule tu mkuu. kwa afya zetu.
Ndio ipi hiyo?Unamaanisha ile dini ya Westgate??
KITOABU, kama kutumia au kutokutumia haina nafasi kinachojadiliwa ni nini?...unatumia halafu athari zinajitokeza kenye imani yako halafu kwenye afya pia. Hoja ipo kwenye kwenye maswali yangu mawili ili nikuelewe kadiri ulivyosema mwanzo, nisaidie basi yale maswali yangu mawili.Kutumia kutotumia hiyo haina nafasi chamsingi hapa Nguruwe hafai kwa mujibu wa vitabu vyetu vitakatifu lakini wadini nyengine wana vipinga vitabu hivyo kwa kumla na kumfuga Nguruwe.
Unamaanisha ile dini ya Westgate??
Hii topic inawasaidia nini watanzania katika umasikini unaowakabili?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nguruwe wakuchoma mtamu
nguruwe rosti mtamu
Nguruwe wakukaangwa wai wai wai mtamuuuuuuu
Nguruwe wakuungwa na ndizi, yewooooo nikoradhi kuvimbiwa kuliko kuweka kiporo
Becon mmmmmh aliyegundua nijiniasssss
Je wenzangu mwamlaje kitimoto?! Maana kimetoka kwa mungu kwaajiliyetu.
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako[/
Acha maneno yako we mzee.Jinsi hii kitu ilivyo mardadi unadhani kuna mtu atakua na muda wa kufanya hizi experiments za kukatishana tamaa.Waacheni wanaokula mdudu wale na wale ambao hawali waendelee na mambo yao.Maisha ni kuchagu ishi upendavyo.
Haujaambiwa uache kula, ila ujue ina madhara (kama yalivyo orodheshwa hapojuu) pia kama wewe ni mfuasi wa vitabu hivi Qur-an na Bible jua una fanya makosa kumla Nguruwe kwani vitabu vivyo vime kataza kumla mnyama huyo.jana nimekula kitimoto rost na ndizi,na sintoacha kula hata iweje!hakuna nyama inauzwa gali kama kitimotos
Kitimoto hafai kuliwa wala kufugwa ila tu kama utaamua kupingana na andiko lililopo ndani ya kitabu chako kitakatifu.