Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Jamani sisi hatuli nguruwe ila tunakula kitimoto....tena kiti cha moto na mzee wa manguvu(NYAGI) hapo hadi ajisalimishe mwenyewe.
 
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako

Kwan nan hua anakula nyama ya nguruwe mbich? halaf nilidhan utashaur watu baada ya kupiga kiti moto washushie li-coka labariiid we unataka mtu aanze changanya mambo ka vile yupo maabara.
 
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako
Huo ni uongo mtakatifu.nimeshajaribu mara kadhaa na haijatokea kitu kama hicho na nahisi wewe mwenyewe hujawahi kujaribu ila unaleta stori za kwenye vijiwe vya kahawa bila kufanya utafiti!
 
Kiti moto kwa afya, kiti moto ni yenyewe karibuni kwa mzee Robert Mburahati ya kuchoma.

Utakuwa na akili kama ya kuku!!
Kama umeshindwa kuelewa yote yaliyoandikwa hapo!!! Binadamu wengine bana.
 
Usiseme viyabu vyetu sema kitabu chetu.....Yaanbi mijitu mnapenda kuunganisha quran na bible pamoja wkt ni vitabu tofauti na mafundisho tofauti kabisaaaa.... kimoja kinafundisha upendo kingine kinafundisha kuua
Nimesema vitabu vyetu Kwakua Vyote Bible (wakiaminicho wakristo) na Quraan (wakiaminicho Waislam) vime kemea ulaji wa Nguruwe. Ila chaajabu Waislam hatumli (tunaamini kitabu chetu) na wakristo wanamla (wana pingana na kitabu chao) Hapo utaona kua Uislamu ni dini inayo fuata maamrisho na kuacha kila kilicho kemewa ktk kitabu. Lakini ni tofauti na wakristo wanao pinga kile kilicho kemewa ktk kitabu chao.
 
Nakutaka radhi mkuu. Pamoja sana.

İla shwain tule tu mkuu. kwa afya zetu.
Kitimoto hafai kuliwa wala kufugwa ila tu kama utaamua kupingana na andiko lililopo ndani ya kitabu chako kitakatifu.
 
Hii topic inawasaidia nini watanzania katika umasikini unaowakabili?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kutumia kutotumia hiyo haina nafasi chamsingi hapa Nguruwe hafai kwa mujibu wa vitabu vyetu vitakatifu lakini wadini nyengine wana vipinga vitabu hivyo kwa kumla na kumfuga Nguruwe.
KITOABU, kama kutumia au kutokutumia haina nafasi kinachojadiliwa ni nini?...unatumia halafu athari zinajitokeza kenye imani yako halafu kwenye afya pia. Hoja ipo kwenye kwenye maswali yangu mawili ili nikuelewe kadiri ulivyosema mwanzo, nisaidie basi yale maswali yangu mawili.
 
Unamaanisha ile dini ya Westgate??

hahahahahahaha...dini gan mkuu..au ile inayosema dini inaenezwa kwa upanga siku hz inaenezwa kwa AK-47...mi sipati picha huyo sws aliwaza nini,inaonekana alivurugwa ujana wake kwa kuoa mzee wa miaka 40
 
Nguruwe wakuchoma mtamu
nguruwe rosti mtamu
Nguruwe wakukaangwa wai wai wai mtamuuuuuuu
Nguruwe wakuungwa na ndizi, yewooooo nikoradhi kuvimbiwa kuliko kuweka kiporo
Becon mmmmmh aliyegundua nijiniasssss
Je wenzangu mwamlaje kitimoto?! Maana kimetoka kwa mungu kwaajiliyetu.

umeongea vema mkuu
 
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako[/

Acha maneno yako we mzee.Jinsi hii kitu ilivyo mardadi unadhani kuna mtu atakua na muda wa kufanya hizi experiments za kukatishana tamaa.Waacheni wanaokula mdudu wale na wale ambao hawali waendelee na mambo yao.Maisha ni kuchagu ishi upendavyo.
 
kilo moja ya nyama ya nguruwe ni elfu kumi na moja, wakati ya ng'ombe ni elfu tano mia tano.
hapo kazi hipo.
 
jana nimekula kitimoto rost na ndizi,na sintoacha kula hata iweje!hakuna nyama inauzwa gali kama kitimotos
Haujaambiwa uache kula, ila ujue ina madhara (kama yalivyo orodheshwa hapojuu) pia kama wewe ni mfuasi wa vitabu hivi Qur-an na Bible jua una fanya makosa kumla Nguruwe kwani vitabu vivyo vime kataza kumla mnyama huyo.
 
Kitimoto hafai kuliwa wala kufugwa ila tu kama utaamua kupingana na andiko lililopo ndani ya kitabu chako kitakatifu.

Kitabu changu kitakatifu kimeniambia alichokiumba Mungu sina mamlaka ya kukiita najisi.

Tumle tu huyu mnyama kwa afya yetu.
 
Back
Top Bottom