Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Kitabu changu kitakatifu kimeniambia alichokiumba Mungu sina mamlaka ya kukiita najisi.

Tumle tu huyu mnyama kwa afya yetu.

Nawasikitikia sana ndugu zangu wasio kula
 
Kweli waislamu hawamli au wewe ndio humli? halafu Biblia haijakataza kula nguruwe bwana!!! bali inaruhusu kula chochote ili mradi unataka kula!!! wewe huwezi kusoma Biblia ukaielewa kama vile mimi nikijaribu kusoma kuruani naona michoro tu. Pia huwezi kuhalalisha kula au kutokula kwa kutumia vitabu vyote. mbona wale wa Kristo wakisema YESU ni Mungu unakataa ila wakila nguruwe hapo unapata reference!!!!
 
Kitabu changu kitakatifu kimeniambia alichokiumba Mungu sina mamlaka ya kukiita najisi.

Tumle tu huyu mnyama kwa afya yetu.
Kwahiyo nahii (Walawi 11 8-9) ipo kwenye kitabu kipi? Babu punguza UCHU.
 
Mimi mpaka leo sijawahi kuwa na rafiki mwislamu ambaye hali kitimoto cjui hiki kitu kinanishangaza sana.

Unafiki ni sumu mbaya sana!
Labda nikuulizw tu! Ulidhani uislamu ni kabila eti! Unywe pombe. Ukajamiiane. Ule kitimoto! We bado muislamu tu eti?
Nenda kapate elimu kwanza kabla ya kuanza kupayu payuka!
Kwa kauli yako hio inamaana wale mapadri waliberali wanamuakilisha yesu pale sio!?
Mnfnssssssssss!
 
Hivi mkristo asipokula kiti moto anaweza kuruhusiwa kuchinja wanyama
kama vile ngombe na waislam wakala? au mwendo ni ule ule.
 

N
Mkuu ni Nguruwe yupi unayemuongelea wewe????

Je hi huyu:-



Au huyu???



Au huyu:-




MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
 
Kwani kwenye Bible kuna andiko linalo sema Yesu ni Mungu? (Ukionyesha naomba mods wanipe Ban ya mwezi mzima)
 

Sheikh Ubwabwa funguka kwa nini mtume alikataza msile minofu iliyonona ya kiti moto?
 
Ingekuwa ni hatari kiasi hicho basi nadhani Wajerumani wangeongoza kwa kuumwa maana bila hiyo kitu hakuna mlo, na ukikaa huko basi labda uwe unakula mboga za majani ama wende maduka ya nyama ya waturuki vinginevyo lazima kula hiyo kitu kwa hali yoyote ile. Inawezekana wana magonjwa kama vile ilivyo kwa kondoo, mbuzi na ng'ombe na hata bata. Kuhusu upande wa kiimani, inabidi kujiuliza zaidi hayo makatazo yanaharibi vipi imani ya mtu, ama tuseme chakula kinaathili vipi imani ya mtu. Mie naamini katika amri kumi za Mungu tu na si vinginevyo.
 
 
Hivi mkristo asipokula kiti moto anaweza kuruhusiwa kuchinja wanyama
kama vile ngombe na waislam wakala? au mwendo ni ule ule.
Qur-an ina weka wazi kua, tusile mzoga, Nguruwe na mnyama alie chinjwa na mtu asie Muislam.
 


Nani ulishamuona anakula nyama mbichi ya kitimoto? Kama unataka tuammini test yako sema tukachukue nyama iliyochemshwa tayari kuliwa kama roast, halafu tuiloweke kwenye soda, tuone hao funza wanaoweza kuishi kwenye soda. Pia hata kama funza watatoka ni kwa nini tuamini wametoka kwenye nyama na si soda?

Wacheni upotoshaji enyi mlio katika vifungo!
 
Sheikh Ubwabwa funguka kwa nini mtume alikataza msile minofu iliyonona ya kiti moto?
Hata wewe Bible ina kukataza ila Kwakua dhambi zako alisha zichukua Yesu ndio maana hauogopi andiko lina semaje.
 
Inataka moyo kususia mlo kama huu ebu tuacheni jamani kama ni maradhi wazungu wangeshatoweka katika uso wa dunia.













 
Kambare naye wanasema ana minyoo ya kwenye matope,hafai kuliwa.lkn sisi kijijini ndo ilikua mboga na watu wanadunda
na maisha yao yako fit ile mbaya.
Kama tunaongelea mabo ya imani tufafanue kiimani ili wanaotaka kuifuata waifuate
lakini habari ya kutishana na magonjwa tuishie hapo tulipofikia.
TUMEONA WATU WENGI WANAOUMWA UGONJWA WA NYAMA YA MBUZI NA WANASHAURIWA KUACHA,MBONA SIJAWAHI KUONA MTU ALIYEAMBIWA NA DAKTARI KUWA ANAUMWA UGONJWA WA KULA NYAMA NYINGI YA NGURUWE?
Hapa tutumie msemo wa Shehe Ali Hassan Mwinyi aliyesema ''anayetaka kula....ruksa"
 
Hata wewe Bible ina kukataza ila Kwakua dhambi zako alisha zichukua Yesu ndio maana hauogopi andiko lina semaje.

Ni maandiko tu kama ilivyo Daud alioa wake 700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…