TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Kitabu changu kitakatifu kimeniambia alichokiumba Mungu sina mamlaka ya kukiita najisi.
Tumle tu huyu mnyama kwa afya yetu.
Nawasikitikia sana ndugu zangu wasio kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabu changu kitakatifu kimeniambia alichokiumba Mungu sina mamlaka ya kukiita najisi.
Tumle tu huyu mnyama kwa afya yetu.
Kweli waislamu hawamli au wewe ndio humli? halafu Biblia haijakataza kula nguruwe bwana!!! bali inaruhusu kula chochote ili mradi unataka kula!!! wewe huwezi kusoma Biblia ukaielewa kama vile mimi nikijaribu kusoma kuruani naona michoro tu. Pia huwezi kuhalalisha kula au kutokula kwa kutumia vitabu vyote. mbona wale wa Kristo wakisema YESU ni Mungu unakataa ila wakila nguruwe hapo unapata reference!!!!Nimesema vitabu vyetu Kwakua Vyote Bible (wakiaminicho wakristo) na Quraan (wakiaminicho Waislam) vime kemea ulaji wa Nguruwe. Ila chaajabu Waislam hatumli (tunaamini kitabu chetu) na wakristo wanamla (wana pingana na kitabu chao) Hapo utaona kua Uislamu ni dini inayo fuata maamrisho na kuacha kila kilicho kemewa ktk kitabu. Lakini ni tofauti na wakristo wanao pinga kile kilicho kemewa ktk kitabu chao.
Nawasikitikia sana ndugu zangu wasio kula
Kwahiyo nahii (Walawi 11 8-9) ipo kwenye kitabu kipi? Babu punguza UCHU.Kitabu changu kitakatifu kimeniambia alichokiumba Mungu sina mamlaka ya kukiita najisi.
Tumle tu huyu mnyama kwa afya yetu.
Mimi mpaka leo sijawahi kuwa na rafiki mwislamu ambaye hali kitimoto cjui hiki kitu kinanishangaza sana.
Nguruwe ambapo katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.
Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.
Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.
Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.
Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.
Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.
Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo
kabisa Taenia Saginata ya ngombe.
KIIMANI
kwa upande wa Quran
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).
KWA UPANDE WA BIBILIANguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).



Kwani kwenye Bible kuna andiko linalo sema Yesu ni Mungu? (Ukionyesha naomba mods wanipe Ban ya mwezi mzima)Kweli waislamu hawamli au wewe ndio humli? halafu Biblia haijakataza kula nguruwe bwana!!! bali inaruhusu kula chochote ili mradi unataka kula!!! wewe huwezi kusoma Biblia ukaielewa kama vile mimi nikijaribu kusoma kuruani naona michoro tu. Pia huwezi kuhalalisha kula au kutokula kwa kutumia vitabu vyote. mbona wale wa Kristo wakisema YESU ni Mungu unakataa ila wakila nguruwe hapo unapata reference!!!!
Unafiki ni sumu mbaya sana!
Labda nikuulizw tu! Ulidhani uislamu ni kabila eti! Unywe pombe. Ukajamiiane. Ule kitimoto! We bado muislamu tu eti?
Nenda kapate elimu kwanza kabla ya kuanza kupayu payuka!
Kwa kauli yako hio inamaana wale mapadri waliberali wanamuakilisha yesu pale sio!?
Mnfnssssssssss!
Ukiangalia afya zao lazima ziko mgogoro.
Chukua mia!hii chakula safi sana bora kuugua kuliko kuacha kuila
Mkuu huu utafiti wako safi sana,na mimi naenda kuongezea hivi nitachukua nyama ya nguruweukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako[/
Acha maneno yako we mzee.Jinsi hii kitu ilivyo mardadi unadhani kuna mtu atakua na muda wa kufanya hizi experiments za kukatishana tamaa.Waacheni wanaokula mdudu wale na wale ambao hawali waendelee na mambo yao.Maisha ni kuchagu ishi upendavyo.
nitaipika iive vizuri kama nataka kuila vile afu niifanyie procedure uliyaieleza hapo juu,nione matokeo.
Qur-an ina weka wazi kua, tusile mzoga, Nguruwe na mnyama alie chinjwa na mtu asie Muislam.Hivi mkristo asipokula kiti moto anaweza kuruhusiwa kuchinja wanyama
kama vile ngombe na waislam wakala? au mwendo ni ule ule.
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako
Hata wewe Bible ina kukataza ila Kwakua dhambi zako alisha zichukua Yesu ndio maana hauogopi andiko lina semaje.Sheikh Ubwabwa funguka kwa nini mtume alikataza msile minofu iliyonona ya kiti moto?
Hata wewe Bible ina kukataza ila Kwakua dhambi zako alisha zichukua Yesu ndio maana hauogopi andiko lina semaje.
Mimi mpaka leo
sijawahi kuwa na rafiki mwislamu ambaye hali kitimoto cjui hiki kitu
kinanishangaza sana.